Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

Lengo la kuzima mitambo na kufungulia maji bwawa la Rufiji ni kutengeneza uhaba feki ili bei ibaki pale pale, kitu kikizidi tafsiri yake ni kwamba bei ni kubwa na inabidi ishuke ili kitumike kwa wingi zaidi ili kisibaki
KUna kitu nimekumbuka nikacheka sana, sjui alikua PM au Naibu PM ama mkuu wa Tanesco alisema "hata bwawa la Nyerere likikamilika bei haitashuka"

Ntajaribu kutafuta ile taarifa, nikiipata ntaileta.

Hii nchi tugawane kila mtu atafute uraia sehwmu nyingine tu
 
Nadhanii malengo ya baadhi ya viongozi wetu sio kuwaletea wananchi unafuu wa maisha Bali ni kujitajirisha wenyewe. Maana matumaini ya wengi nilikuwa ni baada ya kukamilika Kwa mradi bei ya umeme ingeshuka, sasa kama haishuki malengo ya kuzalisha umeme mwingine kuzidi mahitaji yalikuwa ni yapi? Je tumeshajitosheleza umeme hadi tuuzie majirani? Vijijinivwameshamaliza kusambaza umeme na kuona kuwa sasa imetosha uliobaki tuuze nje?
 
Huyo alikuwa Majarage Chande
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Na wewe ndiye wa kulaumiwa kwa kusambaza uongo na kupiga propaganda kuwa bei ya umeme itashuka!

Ulaaniwe mpaka kaburini kwako!
Shindwa na ulegee!!! Yale yalikuwa ni maoni yangu endapo umeme wote ungezalishwa na kuuzwa, badalayake wamezima mitambo na kufungulia bwawa iki umeme usiwe mwingi, otherwise bei ishuke!
 
Utasubiri sana mpaka utembelee mkokojo lakini bei haitashuka!

Umeleta mkosi wa milele!
 
hadi sasa wamewasha mitambo mingapi? Na umeme wake unakwenda wapi? Mbona hakuna updates?!
 
Nadhanii malengo ya baadhi ya viongozi wetu sio kuwaletea wananchi unafuu wa maisha Bali ni kujitajirisha wenyewe. Maana matumaini ya wengi nilikuwa ni baada ya kukamilika Kwa mradi bei ya umeme ingeshuka, sasa kama haishuki malengo ya kuzalisha umeme mwingine kuzidi mahitaji yalikuwa ni yapi? Je tumeshajitosheleza umeme hadi tuuzie majirani? Vijijinivwameshamaliza kusambaza umeme na kuona kuwa sasa imetosha uliobaki tuuze nje?
Umeme umezidi mahitaji, ila wote unauzwa nje, halafu tunaagiza tena toka Ethiopia
 
Back
Top Bottom