Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

Hajui Uganda inaiuzia umeme Tanzania
 
Kwanza huyo mtoto wa Rais azalishi umeme Tanzania na kuuza Uganda. Hapo umeleta hisia za kutuingiza chaka kabisa.

Huyo dogo kampuni yake imepewa kibali cha kuwekeza Uganda na kuzalisha huo umeme jua hapo hapo Uganda. Acha kutufanya sisi wajinga kama ulivyo mjinga wewe
 
Mkuu
Watarukaruka hapa na pale lakini Mene Mene Tekeli na Peresi kimeumana

Sema hivyo
 
Hii picha huyu atajuta kupata huo uongozi wa mpito umejaa matope tupu
 
conspiracy theory.
 
Zinauza kihalali au gizani? Huyo mtoto wa Raisi Kampuni zake ni zipi tuzijue? Sio kosa kuwa na kampuni au kufanya biashara ila kwa nini iwe siri?
 
Exactly, na hiki ndicho ninachokisemamsiku zote! Malengo ya mradi yanakwepeshwa kwa makusudi! Kuna faida gani sisi tuumie hivi kujenga Mradi kwa mika kibao halafu faida ziende Uganda, Rwanda na Malawi?! Sisi tunafaida gani na huo mradi kama bei haishuki, viwanda havikui na ajira haziongezeki?!!!!!
 
Acha kupenda Bure,pia acha kuzua
 
Acha kupenda Bure,pia acha kuzua,
 
Bt kwa akili ya kawaida tu how comes 2600Megawatts ziongezeke then bei isishuke jmn,I wish angekuwepo chuma...yan watu huku umeme ushakuwa wa kuwashia taa tu hata kutumia pasi inaonekana ni anasa kwa sababu ya gharama kubwa ya umeme.
Huo mradi wa kuongeza megawatt umejengwa bure?
 
Hili swali kila mtu mwenye akili timamu anajiuliza
 
Huyu ameenda kama Nan??? MWENYEZI Mungu fanya jambo kwa Hawa matapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…