Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

Hizo gharama za ujenzi nani analipa? Si mwananchi? Sasa anepaswa kufaidika na uwekezaji wake ni nani kama si mwananchi?
Na kama gharama za kuzalisha umeme zinashuka, na umeme ni mwingi kuliko demand ya ndani ni kwanini bei isishuke?
Unajua Bwana linajengwa kwa shilingi ngapi? Unajua umeme unazalishwa kwa gharama gani? Unajua service za zile machine za kuzalisha umeme zinafanywa kwa kiasi gani cha fedha?
 
Kwa hiyo iyo hela yako ndo inaenda kuzalisha umeme? Barabara zinajengewa hela ipi? Dawa hospitalini zinanunuliwa kwa hela ipi? Mishahara ya watumishi wa Umma inalipiwa hela ipi?

Icho ki 150 za vocha ndo kifanye upunguziwe umeme? Chizi kabisa wewe
Kwahiyo kodi ninayo lipa ni hiyo ya bando tu? Kwahiyo situmii umeme wenye kodi lukuki? Situmii usafiri unaohitaji petrol yenye kodi lukuki, sinunui bidaa zenye kodi lukuki? , hiyo bando nimekutolea kama mfano tu
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Unajua Bwana linajengwa kwa shilingi ngapi? Unajua umeme unazalishwa kwa gharama gani? Unajua service za zile machine za kuzalisha umeme zinafanywa kwa kiasi gani cha fedha?
Yote hayo yanafahamika, suala ni kwamba umeme wa maji nafuu mno hivyo gharama za uzalishaji zitashuka sana, pili like bwawa ni kubwa na umeme utakaozalishwa ni mwingi mno, hivyo kwa logic ya kawaida, kitu kikiwa kingi na cha gharama nafuu maana yake bei yake inaoaswa kushuka, ila kwa ajili ya hizo maintanance kuna Megawatt zinaweza kuwa allocate d kuuzwa nje ya nchi kwa market price iliyopo ili kuweza kuservice mitambo na kusaidia shirika kusimama imara na kulipa madeni.., simple logic.

Multiplier effect za umeme nafuu ni kukua kwa viwanda, kuongezeka ajira na kukua kwa uchumi, na unafuu wa maisha kwa mwanachi. Sasa kuna faida gani kama hiyo rasilimali haisaidii mwanachi?
 
Yote hayo yanafahamika, suala ni kwamba umeme wa maji nafuu mno hivyo gharama za uzalishaji zitashuka sana, pili like bwawa ni kubwa na umeme utakaozalishwa ni mwingi mno, hivyo kwa logic ya kawaida, kitu kikiwa kingi na cha gharama nafuu maana yake bei yake inaoaswa kushuka, ila kwa ajili ya hizo maintanance kuna Megawatt zinaweza kuwa allocate d kuuzwa nje ya nchi kwa market price iliyopo ili kuweza kuservice mitambo na kusaidia shirika kusimama imara na kulipa madeni.., simple logic
Yanafahamikaje? Umekuwa mpiga ramli?
 
Kwahiyo kodi ninayo lipa ni hiyo ya bando tu? Kwahiyo situmii umeme wenye kodi lukuki? Situmii usafiri unaohitaji petrol yenye kodi lukuki, sinunui bidaa zenye kodi lukuki? , hiyo bando nimekutolea kama mfano tu
Hivi mbona unajisumbua kubishana na majitu mapumbafu Ina maana kwa umri alionao hajui hata Kodi inakusanywa vipi yaani Kuna wananchi wengine ni hasara
 
Kwahiyo kodi ninayo lipa ni hiyo ya bando tu? Kwahiyo situmii umeme wenye kodi lukuki? Situmii usafiri unaohitaji petrol yenye kodi lukuki, sinunui bidaa zenye kodi lukuki? , hiyo bando nimekutolea kama mfano tu
Hizo hela za Petrol ndo zinatosha kufanya hayo? Huo umeme unaolipa hako kodi chanzo chake ni Bwawa la Nyerere tu? Hakuna vyanzo vingine ambavyo navyo vinagharama za uzalishaji na gharama za matengenezo?
 
Gujinga kabisa wewe Kwahiyo wewe hujui kabisa Kuwa umeme wa maji ninafuu
Ni nafuu kivipi? Kwenye hiyo nafuu hakuna gharama za uzalishaji? Hakuna gharama za matengenezo ya mitambo?

Au unakariri tu ni nafuu jinga wewe
 
Ujinga ni mzigo kwa hiyo kampuni za kitanzania kwenda kuuza umeme ili kutuletea kipato nayo ni nongwa?

Yaani tayari ni ajenda ya kisiasa sisi masikini kama tunaweza kupata vya kuuza ili tujiingizie kipato ni jambo zuri sio tu kuuza mahindi na maharage.

Kama tunauza na umeme jambo zuri sana hata awe mtoto wa nani binafsi nasupport kampuni za kitanzania kufanya hivyo.

Sio kila siku zinakuwa tu kampuni za kigeni kufanya hivyo napongeza sana kampuni ya tanzania inayofanya hivyo.
Unauzaje chakula nje kwa jirani wakati wanao hapo ndani hawajashiba,tosheleza mahitaji yako ndani then ndio uangalie nje
 
Ni nafuu kivipi? Kwenye hiyo nafuu hakuna gharama za uzalishaji? Hakuna gharama za matengenezo ya mitambo?

Au unakariri tu ni nafuu jinga wewe
Aisee watanzania wengine ni wajinga sana hivi megawatt 2100 zinazozalishwa bila kutumia fuel utafananisha na vyanzo vingine kama magenerator yanayotumia Petroli, Kwa hizo megawatt 2100 hata wasiposhusha Kwa wananchi wa kawaida basi washushe Kwa wenye viwanda na wa allocated mwengine Kwa sgr Ili mizigo isafiri Kwa bei nafuu
 
Acha ujinga wewe!

Kwa hiyo hakuna mitambo inayozalisha umeme pale kwenye bwawa?

Ile mitambo iliyokuwa inasafirishwa kupelekwa rufiji kufungwa kwenye bwawa ilikuwa inaenda kufingwa kama Toy eeeh??

Ile mitambo inapozalisha umeme haihitaji service kusema ikifungwa ndo imefungwa wala haiharibiki wala kuhutaji kubadilishwa vipuri?

Kama hamjui mambo kaeni kimya sio mnajionesha mlivyo wajinga humu
 
Exactly, na hiki ndicho ninachokisemamsiku zote! Malengo ya mradi yanakwepeshwa kwa makusudi! Kuna faida gani sisi tuumie hivi kujenga Mradi kwa mika kibao halafu faida ziende Uganda, Rwanda na Malawi?! Sisi tunafaida gani na huo mradi kama bei haishuki, viwanda havikui na ajira haziongezeki?!!!!!
Na huo ndio ukweli wenyewe !! 🙏💯
 
Kuanzishwa kwa mradi lengo ni kupata unafuu wa bei na kuongeza kipato sasa kama bei haipungua kulikuwa na haja gani ya kuanzisha huo mradi. Ukweli utawaweka huru.
 
Back
Top Bottom