Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

Tutamkoma mama Abdul!
 
Umeelewa alichoandika mleta uzi?
Umesoma neno kwa neno?
 
Tanzania kama Tanzania ni investment ya watu aka shamba, hizo bei huwa ni maslahi ya watu ndio maana haziwezi kushuka mpaka 10% inakuwa kila mahala mwisho wa siku ili ufunike lazima umnyonge raia.

Haki Tanzania itakuja pale raia watakapoamua kuidai haki yako kwa vurugu na sio democrasia ya Mzungu ya uchaguzi.
 
acha uzushi na blablaa za kipumbavu, kafanye kazi halali huo upuuzi wako haulipi. Kima kweli wewe
 
huyo ni mzushi tu hakuna analofahamu anajaribu kumzushia uwongo rais, mpuuzeni huo mpuuzi
 
Bwawa hili limejengwa kwa pesa ya wananchi kupitia kodi zao kwa lengo la kupata umeme toshelevu na wa bei nafuu sana ili waachane kupikia kuni nk. Hata hiyo mikopo iliyotumika ni pesa ya wananchi kwani ni wao ndo huilipa kupitia kodi zao.

Sasa mradi umekamilika, wameuchukua akina Maharage na wamekusudia kuwauzia umeme wananchi hao kwa bei hiyo hiyo au kubwa zaidi kwa sababu eti warudishe gharama ya ujenzi wake ambayo iligharimiwa na wananchi hao hao. Nani kawaambia wananchi wanataka kurudishiwa gharama hiyo kwa kutozwa tena pesa? Wananchi wanataka kurudishiwa gharama hiyo kwa kupewa umeme wa bei nafuu au wa bure kabisa.

Kama mtindo huo wa akina Maharage utaruhusiwa basi miradi yote ya miundo mbinu inayojengwa wananchi wajiandae kulipa cha juu zaidi kutumia miundombinu hiyo itakapokamilika. SGR ikikamilika gharama ya usafiri wa reli utakuwa wa juu zaidi ili kurudisha gharama za ujenzi. Vivyo hivyo kwa barabara tunazojenga, mahospitali tunayoyajenga, bandari tunazozijenga na kadhalika.Hii si sawa hata kidogo. Wabunge wetu wakatae mtindo huu ambao hauna logic yo yote.
 
Hakuna sababu ya kushusha Nashauri wapandishe mara dufu
 
We we ndiyo jinga kabisa.unakimbilia kuuza nje wakati ndani kwako bei ya umeme ni juu na baadhi ya wananchi hawajaungwa
Wewe ukiulizwa kwa sasa tunazalisha megawatt ngapi hujui ,bwawa litazalisha ngapi hujui na matumizi yetu ni ngapi hujui ndugu tuliza akili usiwe kama dodoki yaani maji machafu au masafi haijalishi wewe unafyonza tu .
 
Unauzaje chakula nje kwa jirani wakati wanao hapo ndani hawajashiba,tosheleza mahitaji yako ndani then ndio uangalie nje
Kafanye analysis ndio uongee mbona watu mnapenda kuongea au kuchangia kabla hata ya kupitia hicho kinachozungumzwa na kujiridhisha mnakuwa kama spika tu chochote mnatangaza.
 
Niliwaambia ccm tukingoja hadi 2025 bado tutavuna mabua, hawa dawa yao ni kuwaondoa kwa nguvu ya umma,wananchi wote tukiingia barabara watatoka tu hii nchi sio mali yao.
Huu ndio wenzako wanasema ni uhaini.

Muda utasema tu.
 
Kafanye analysis ndio uongee mbona watu mnapenda kuongea au kuchangia kabla hata ya kupitia hicho kinachozungumzwa na kujiridhisha mnakuwa kama spika tu chochote mnatangaza.
Mkuu kikubwa umeme ushuke bei ili kila mtanzania aweze kumudu matumizi sahihi ya umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…