Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

Itaongezaa Uhakika wa kupatikana kwa Huduma ila sio Bei kushukaaaa...!!! Hilo sahauuu
 
Ujinga ni mzigo kwa hiyo kampuni za kitanzania kwenda kuuza umeme ili kutuletea kipato nayo ni nongwa?

Yaani tayari ni ajenda ya kisiasa sisi masikini kama tunaweza kupata vya kuuza ili tujiingizie kipato ni jambo zuri sio tu kuuza mahindi na maharage.

Kama tunauza na umeme jambo zuri sana hata awe mtoto wa nani binafsi nasupport kampuni za kitanzania kufanya hivyo.

Sio kila siku zinakuwa tu kampuni za kigeni kufanya hivyo napongeza sana kampuni ya tanzania inayofanya hivyo.
Hii ng'ombe imesoma ila haijaelewa
 
Ujinga ni mzigo kweli kweli na ujinga wenyewe ndiyo wewe
Wewe ni ujinga mtupu ndugu yangu
 
Mkuu kikubwa umeme ushuke bei ili kila mtanzania aweze kumudu matumizi sahihi ya umeme
Kwani kwa sasa shida ni bei au shida ni upatikanaji , sasa washushe bei halafu hela za miradi miaka yote wawe wanaendelea kukopa tu hapo hapo unaadeficit bajeti hii si ndio wakati sasa tupate surplus za kukava na kufanya mengine makubwa kwa kuwa tunauhakika na za kwetu na kurun kwa profit au ndio imani yako kuwa mashirika ya umma marufuku kupata surplus hata kama mimi ningekuwa ceo nisingeshusha bei kabisa.
 
Tangu Maharage pale TANESCO alipotoa tamko lisilo na mantiki na linalo-defy all logical reasoning, kwamba eti hata baada ya Megawatt 2100 kuanza kuzalishwa kwenye bwawa la Nyerere na kuingizwa kwenye Gridi bado eti umeme hautashuka bei, nimekuwa nikiwaza sana nisielewe hii itawezekana vipi?!

Ni kwamba Law ya demand vs Supply inagoma kabisa!! Kwamba matumizi yetu hivi sasa ni Megawatt 1,600, na ndizo zinazalishwa kwa sasa, halafu ghafla uingize Megawatt 3,700 kwenye gridi, huo umeme wote atautumia nani kwa ghafla hivyo hadi uishe?

Tulitegemea kwa kuwa umeme hauwezi kutunzwa kwenye betri, kwamba Tanesco washishe bei ili hadi vijijini wapikie majiko ya umeme, kiasi umeme huo sasa utumike wote bila kupotea, vinginevyo itabidi tufungulie maji bwawani yamwagike bire bila kuzalisha umeme.

Sasa leo ndio nimejua mchezo wanaotaka kufanya, ni mwamba hizo Megawatt 2,100 za Bwawa la Nyerere tutazisikia kwenye bomba tu, maana zitaingizwa kwenye gridi ya taifa na kuwa offloaded kwenda Zambia, Malawi, Uganda, Kenya ,Zanzibar, Burundi, Rwanda, Msumbiji, na hata sentano mbuni hatutaiona ya mauzo ya umeme. How? Kwanini nasema hivi?

1.) Umeme huo hautaonekana kwamba umetoka Tanesco, bali kuna dogo mmoja inadaiwa ni mtoto wa mama yetu, yeye kaongozana eti na maafisa wa Wizara ya Nishati ili azalishe umeme wa Solar na kuiuzia Uganda , 😂😂😂, kwamba umeme utoke Rufiji, mseme ni umeme jua wa huyo dogo? Halafu malipo yote alipwe yeye?!! 😂😂😂 , ujamja wa kizani sana huu...

2.) Inadaiwa January Makamba anakazana sana kuunganisha gridi ya Tanzania na Gridi za Rwanda kupitia Rusumo, na anafanya mikutano na nchi nyingi zinazotuzunguza hasa malawi, Zambia na wengine eti tuunganishe gridi yetu kwa pamoja ili tuuziane umeme panapokuwa na upungufu. Shida hapa ni kwamba umeme utatoka Rufiji halafu watasema ni umeme wa gesi, hivyo malipo yataenda kwa wenye gesi yao.., sisi tutabaki kulipa mkopo wa Trillion 10 zilizotumika kujenga hiko bwawa, kwa tozo za miamala na kodi za majengo za kwenye umeme zilizopoandishwa.

Hivi mtu mwenye akili timamu unakubali vipi kuambiwa kwamba Megawatt 2,100 ziingizwe kwenye gridi na bado zote zitumike ziishe bila kushusha bei?!!!

We are finished!! Tumekwisha...

View attachment 2715874

I can’t imagine huyo mama abaki hapo hadi 2030, kweli?!! Tanganyika Tutakuwa na hali gani sisi, si tutakuwa tunatembea tunaongea wenyewe kama wehu?!

=========================
Ina make sense.
 
Kwani kwa sasa shida ni bei au shida ni upatikanaji , sasa washushe bei halafu hela za miradi miaka yote wawe wanaendelea kukopa tu hapo hapo unaadeficit bajeti hii si ndio wakati sasa tupate surplus za kukava na kufanya mengine makubwa kwa kuwa tunauhakika na za kwetu na kurun kwa profit au ndio imani yako kuwa mashirika ya umma marufuku kupata surplus hata kama mimi ningekuwa ceo nisingeshusha bei kabisa.
Utafanya makubwa gani wakati pesa inaingia mifukoni mwa wajanja
 
Kwani kwa sasa shida ni bei au shida ni upatikanaji , sasa washushe bei halafu hela za miradi miaka yote wawe wanaendelea kukopa tu hapo hapo unaadeficit bajeti hii si ndio wakati sasa tupate surplus za kukava na kufanya mengine makubwa kwa kuwa tunauhakika na za kwetu na kurun kwa profit au ndio imani yako kuwa mashirika ya umma marufuku kupata surplus hata kama mimi ningekuwa ceo nisingeshusha bei kabisa.
Watanzania milioni 4 tu ndio wanaotumia umeme takwimu zinavyosema,unavyodhani watanzania 25 wakiweshwa kutumia wa bei nafuu aitowezekana kukava madeni na kupata hela miradi kwa kuwatumia na kuwapunguzia gharama watanzania wenyewe,yan nyie akili yenu ipo kwenye kumkandamiza raia ili maendeleo amfikirii kabisa kuna vitu vingine vinaweza kuendesha nchi kwa faida kubwa kwa kumpunguzia mzigo raia!
 
Kwa hapa tulipo bado hatujafika huko kwa kufanya hayo ndugu yangu ikiwa bajeti tu haujitoshelezi mpaka tupate grant au loans sasa kwa nini tuweke subsidy hamna namna no pain no gain ni njia ya kufikia economy independence ukiendekeza siasa hizi za subsidy kwa watu hiyo economy indepence huifikii hata siku moja kaweke subsidy kwenye afya au elimu kutokana na hali yetu ila sio huku kuachwe hivyo hivyo ili nguvu ya kufinance kwingine ipatikane . Waswahili wanasema masikini hampendi mwanae kwa kuwa mtoto akililia biscuit huna hela unamchapa tabia mbaya lakini moyoni unaumia unajua kabisa hii biscuit ni hela ya kufanyia kitu kingine sio kwamba napinga tu kwa ubishi la hasha uhalisia ukoje ukweli ukoje bora bei ibakie hiyo hiyo upate fedha pengine ukajenge irrigation scheme uwape wakulima kwa subsidy wazalishe tuongeze kipato na hicho kinachoongezeka kikafinance mambo ya maendeleo yatakayomkwamua mtu au watu na sio kununua magari ya kifahari. Siafiki kuwapunguzia bei halafu wote tunakosa mi bado nasimamia hapo hapo bei isipunguzwe.
 
Huyu alijenga daraja watu wakajua itakua cheap kufika Kigamboni ila bado tunalipishwa pesa za kuvuka daraja!!

Mradi wa JNHEPP ume cost matrillion so Ili pesa ya mradi irudi obviously lazima cost iwe juu mwanzoni same to nauli za SGR.

Ni mjinga tu angedhani serikali ya CCM itashusha bei ya umeme au nauli ya SGR ilihali Kuna madeni ya kulipa na riba juu.
 
Kwani lengo la mradi lilikuwa ni lipi? Malengo yalikuwa ni kushusha bei ya umeme kwa kuwa umeme wa maji ni wa gharama nafuu na ni mwingi, hivyo kushuka kwa bei kungechagiza ukuajia wa giwamda, kutoa ajira na kupaisba uchumi..,
Hiyo ni long term Sasa uwekeze trillion say 4 alafu uuze umeme kwa bei nafuu kwani cost of production imeshuka? Kuzalisha hizo megawatts 2000+ Ina cost zaidi ya mabwawa yaliyopo combined hasa maintenance and operational costs plus return on investment so lazima tu bei ya mwanzo iwe juu sana.

Hata hiyo SGR imeletwa kushusha gharama za usafirishaji na muda wa kusafiri ila nauli zake zipo juu sababu ya initial investment lazima iwe covered mpaka break even ndio ushushe bei.
 
Niliwaambia ccm tukingoja hadi 2025 bado tutavuna mabua, hawa dawa yao ni kuwaondoa kwa nguvu ya umma,wananchi wote tukiingia barabara watatoka tu hii nchi sio mali yao.
Wananchi wa nchi gan waingie barabaran? Amka unaota ndoto mbsya sana
 
Ujinga ni mzigo kwa hiyo kampuni za kitanzania kwenda kuuza umeme ili kutuletea kipato nayo ni nongwa?

Yaani tayari ni ajenda ya kisiasa sisi masikini kama tunaweza kupata vya kuuza ili tujiingizie kipato ni jambo zuri sio tu kuuza mahindi na maharage.

Kama tunauza na umeme jambo zuri sana hata awe mtoto wa nani binafsi nasupport kampuni za kitanzania kufanya hivyo.

Sio kila siku zinakuwa tu kampuni za kigeni kufanya hivyo napongeza sana kampuni ya tanzania inayofanya hivyo.
Umesoma kilichoandikwa kwani
 
Back
Top Bottom