Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Najua kwa Diploma iko, na sio UDSM anaposema.
Sijui huenda na mie cna taarifa kamili.
Diploma ya Mnaendeleaje.......? Kwani amerekebisha Statement ya awali kama kweli ni Typing error.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Asanteni wote mlionitumia nashindwa ku wajibu line yangu inadaiwa nikijiunga tu wanakata hela yao
Una maanisha nini labda sijakuelewa!
Watu wamekutumia pesa unashindwa kujiunga kifurushi cha buku kuwapigia hata sms kuwapa maneno ya shukrani?
 
Muungie hata vocha bas
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
jamaniiii wee mahii ulikopa Songesha au Timiza?
Woiiiiiih

Kwani hakuna fursa nyingine? e.g. Hapo kazini kwake hawezi kuanzisha mobile retail service ya chai n.k. i.e akiamka asb. anaandaa chai yake safi, nzito na vitafunwa then anajibebea kwenda nayo kazini na ikifika tea break anawadaka wadau. Akiweza kumake 500 per day kwa mwezi faida ni 15,000/= - sio haba kuliko kudanga mtoto kama huyo na elimu yake.
Shng kumi na tano mwezi mzima?
 
Una maanisha nini labda sijakuelewa!
Watu wamekutumia pesa unashindwa kujiunga kifurushi cha buku kuwapigia hata sms kuwapa maneno ya shukrani?
We mjeda hukusoma alama za nyakati.
Hapo watu wanahamasishwa watume maana hajapata bado🤣🤣
 
Una maanisha nini labda sijakuelewa!
Watu wamekutumia pesa unashindwa kujiunga kifurushi cha buku kuwapigia hata sms kuwapa maneno ya shukrani?

Nadaiwa nikijiunga wanakata hela na hela nayotumiwa sio nyingi kiasi kwamba nikisema niunge bando basi kwa wakala nitatoaejero
 
Back
Top Bottom