Huyu ni figo aka kidneyOiyeyai. Kumbe njia ya muongo ni fupi. Hatoweza kukujibu.![]()
Anaishi magomeni
Anapendelea kunywa savanna 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni figo aka kidneyOiyeyai. Kumbe njia ya muongo ni fupi. Hatoweza kukujibu.![]()
Diploma ya Mnaendeleaje.......? Kwani amerekebisha Statement ya awali kama kweli ni Typing error.Najua kwa Diploma iko, na sio UDSM anaposema.
Sijui huenda na mie cna taarifa kamili.
+255 67 949 7293 Rahma Yus
Kutoa ni moyo sio utajiriWatuma pesa nao wanaulizia lini daftari la wapiga kura linazinduliwa wakijishikize kuandikisha watu 😂 JF kibokoo
Course inaitwa Mnaendeleaje ya jamii🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃Najua kwa Diploma iko, na sio UDSM anaposema.
Sijui huenda na mie cna taarifa kamili.
Kumbe,ila safari hii mafisi yamenyooshwa wao,kudadeki.Nilimsaidia mkaka wa watu, daah ila wanaume wanapitia magumu jamaniiii.
Mafisi yanitende mie kwa kipiii? Lol
MmhKutoa ni moyo sio utajiri
Utafanya aka google inavyoandikwa🤣🤣Diploma ya Mnaendeleaje.......? Kwani amerekebisha Statement ya awali kama kweli ni Typing error.
Najua kwa Diploma iko, na sio UDSM anaposema.
Sijui huenda na mie cna taarifa kamili.
Natafuta Ajira si ndiyo huyu Ndugu yako uliyeniquote kule kwenye comment yake ukasema nijadiliane naye kwakuwa aliandika kile kilichokufurahishaTafuta sponsor wa usafirishaji, wa nywele, wa kodi na kukutoa out weekend. Unakaaje kizembe town.
Course inaitwa Mnaendeleaje ya jamii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Dah! Walimwengu kweli! Ametengeneza hekaya kwa ufundi mpaka ikaonekana kana kwamba ni kweli.Huyu ni figo aka kidney
Anaishi magomeni
Anapendelea kunywa savanna 4

Una maanisha nini labda sijakuelewa!Asanteni wote mlionitumia nashindwa ku wajibu line yangu inadaiwa nikijiunga tu wanakata hela yao
🤣🤣🤣🤣 Kasome tena[emoji3][emoji3]hivi kweli nimeandika hivyo mkuu
Kuwa na mwanaume kama mpenzi,ila lengo sio mapenzi lengo ni kupata helaNa tafsiri halisi kulingana na muktadha wa mleta mada? Nimekumiso zaidi mtoto mzuri!!
![]()
![]()
jamaniiii wee mahii ulikopa Songesha au Timiza?![]()
Woiiiiiih
Shng kumi na tano mwezi mzima?Kwani hakuna fursa nyingine? e.g. Hapo kazini kwake hawezi kuanzisha mobile retail service ya chai n.k. i.e akiamka asb. anaandaa chai yake safi, nzito na vitafunwa then anajibebea kwenda nayo kazini na ikifika tea break anawadaka wadau. Akiweza kumake 500 per day kwa mwezi faida ni 15,000/= - sio haba kuliko kudanga mtoto kama huyo na elimu yake.
We mjeda hukusoma alama za nyakati.Una maanisha nini labda sijakuelewa!
Watu wamekutumia pesa unashindwa kujiunga kifurushi cha buku kuwapigia hata sms kuwapa maneno ya shukrani?
Kumbe mlikuwa mnanijadili? Haya mmekubaliana vipi sasa? MAMA MITANO TENA AU?Natafuta Ajira si ndiyo huyu Ndugu yako uliyeniquote kule kwenye comment yake ukasema nijadiliane naye kwakuwa aliandika kile kilichokufurahisha
Ewooomi! Yan ameongopa hadi akasahau kuGoogle kwanza jina la kozi inavyoandikwa kwa kuahidiwa atachangiwa pesa. Foolish girl/boy.Utafanya aka google inavyoandikwa🤣🤣

Una maanisha nini labda sijakuelewa!
Watu wamekutumia pesa unashindwa kujiunga kifurushi cha buku kuwapigia hata sms kuwapa maneno ya shukrani?