Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Najua kwa Diploma iko, na sio UDSM anaposema.
Sijui huenda na mie cna taarifa kamili.
Diploma ya Mnaendeleaje.......? Kwani amerekebisha Statement ya awali kama kweli ni Typing error.
 
Reactions: 511
Wanawake mnahitaji kupewa moyo sana na wanaume awe kaka,baba,rafiki
 
Asanteni wote mlionitumia nashindwa ku wajibu line yangu inadaiwa nikijiunga tu wanakata hela yao
Una maanisha nini labda sijakuelewa!
Watu wamekutumia pesa unashindwa kujiunga kifurushi cha buku kuwapigia hata sms kuwapa maneno ya shukrani?
 
Muungie hata vocha bas
jamaniiii wee mahii ulikopa Songesha au Timiza?
Woiiiiiih

Shng kumi na tano mwezi mzima?
 
Una maanisha nini labda sijakuelewa!
Watu wamekutumia pesa unashindwa kujiunga kifurushi cha buku kuwapigia hata sms kuwapa maneno ya shukrani?
We mjeda hukusoma alama za nyakati.
Hapo watu wanahamasishwa watume maana hajapata bado🤣🤣
 
Una maanisha nini labda sijakuelewa!
Watu wamekutumia pesa unashindwa kujiunga kifurushi cha buku kuwapigia hata sms kuwapa maneno ya shukrani?

Nadaiwa nikijiunga wanakata hela na hela nayotumiwa sio nyingi kiasi kwamba nikisema niunge bando basi kwa wakala nitatoaejero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…