Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Toeni mchango sio mnapiga tu story mtu ana shida
 
Unatumia nauli 5000 kwa siku lakini unashindwa kutafuta chumba cha karibu ulipe 50000. Kwa mwezi. Nafikiri elimu ya chuo haijakusaidia, mshahara unaopata Kama ukiishi kulingana na mshahara wako ni mkubwa Sana Ila ukitaka kuishi Kama mbunge.

Kama mshahara wako unapitia benki kopa tafuta chuma karibu hutakosa.

Kama ungekuwa mwanaume ungekuwa shoga kwa akili yako.
 
Una akili sana chief.
Hata kujibadilisha bado hawezi, nimemgundua mapema tu toka post ya kwanza😁

Halafu amesoma course inaitwa mnaendeleaje ya jamii, alooooooo🤣🤣🤣🏃🏃🏃
Iyo kozi nimecheka😀😀
 
Reactions: 511
Halafu hapo mnawadharau vijana wa kiume wanaopambana. Mnataka wanaume wanaodrive ndinga kali mnafikiri kupata ndinga ni kitu chepesi.

Na ukiolewa kutwa kuchwa unamtukana mumeo kwamba hajui kutafuta kama baba fulani. Nyie viumbe wa kike muwe na adabu.
 
Nipe basi hiyo mbinu mpenzi maana sikuwa na shida ya mchango niliomba ushaurii tu watu wakapendekeza nichangiwe
Mahi relaaaaxx, mie nilikua namjibu huyo mtu.
Hata usichukulie serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…