Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechangia kiasi gani mpk muda huu aluKutoa ni moyo sio utajiri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kasome tena
Nini???Nadaiwa nikijiunga wanakata hela na hela nayotumiwa sio nyingi kiasi kwamba nikisema niunge bando basi kwa wakala nitatoaejero
Kupanga ni kuchagua broo. Kwa hiyo huku Jf ndo poa sio?Muungie hata vocha bas
Shng kumi na tano mwezi mzima?
Tena unakuta kapiga ndefu 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila JF unaweza cheka na uzimie, unae muomba msaada kumbe ana shida kuliko wee.
Iyerdoi[emoji3][emoji3]hivi kweli nimeandika hivyo mkuu
Daftari la wapiga kura mahi nao wanaulizia 🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mie mnanichekeshaa bhana, aaah
Iyo kozi nimecheka😀😀Una akili sana chief.
Hata kujibadilisha bado hawezi, nimemgundua mapema tu toka post ya kwanza😁
Halafu amesoma course inaitwa mnaendeleaje ya jamii, alooooooo🤣🤣🤣🏃🏃🏃
Si vyema kujitangaza ni kama sadaka kanisani, muache roho mbaya mnapiga tu majungu.Umechangia kiasi gani mpk muda huu alu
Mahi relaaaaxx, mie nilikua namjibu huyo mtu.Nipe basi hiyo mbinu mpenzi maana sikuwa na shida ya mchango niliomba ushaurii tu watu wakapendekeza nichangiwe
Cc Natafuta Ajira & CoSasa usilalamike kusimangwa na kaka yako, na kifuatacho atakufukuza. Hapa wadada wote tutakwambia vumilia ila ukweli na wao wamewapanga masponsor sababu wanawake nature yetu kupokea na siyo kutafuta
Dada mkubwa, tunapigwa huku😅😅Iyo kozi nimecheka😀😀
Humjui ndio maana unasema hivyo.Si vyema kujitangaza ni kama sadaka kanisani, muache roho mbaya mnapiga tu majungu.