Nshaweka PMKweli tena weka nikutumie
Humu wa kutuma pesa hayupo ni kuchoshana na msg za uko mkoa gani? As if yy mwenyewe yupo Ulaya 🤣Nimecheka kuzimia, haha
Cc Sport ladyy
Tatizo hafikirii, anakurupuka mpenda savanna huyu😂Yani huyu ni kidney mtupu hadi kutoa namba ni vile vile 😂
Oya.. uyo mwamba dp nacheki movie yake ya 2023.. Maisha yanakimbiaMbona nimetuma
Maswali mengi kama upo kwenye interview 🤣Humu wa kutuma pesa hayupo ni kuchoshana na msg za uko mkoa gani? As if yy mwenyewe yupo Ulaya 🤣
Speaking from experience 😁😁Humu wa kutuma pesa hayupo ni kuchoshana na msg za uko mkoa gani? As if yy mwenyewe yupo Ulaya 🤣
We muongo mbona haipoNshaweka PM
Em sema kweli? Niunge vocha bhanaa.Mwenyewe siku hizi nimefukia nalelewa na Sport ladyy
😂 ila hata kama sio yeye huu uandishi wa hiyo ID ni wa mwanaume kabisa, matumizi ya mpendwa, dear n.k yamezidiTatizo hafikirii, ankurupuka mpenda savanna huyu😂
OyaaaaEm sema kweli? Niunge vocha bhanaa.
Au unataka na mie nilete uzi humu?
Mbona ameweka huko juu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeambiwa weka namba tukuchangie unasubiri nini
Maisha ndivyo yalivyo hata sisi mwaka 2070 wote humu tutakuwa tumekufa😅
Ngoja nikachekiiiii chaap.We kolo soma PM
100% ni kidney. Hiyo namba anaitumia sana.😂 ila hata kama sio yeye huu uandishi wa hiyo ID ni wa mwanaume kabisa, matumizi ya mpendwa, dear n.k yamezidi
Jamaniiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]K tu tunakopa sembuse nauli [emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona hiyo iko wazi sema anawaingiza kwenye mfumo wajae, pesa na baridi hii apewe na nani??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukute hata hela hajatumiwa, kwa JF hii thubutuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani huyooo?Mbona paragraph ya kupigwa na kidney ni mbili tofauti, una ugomvi na bwana kidney?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimia kwenye gia.Leo nimemuona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka kuzimia, haha
Cc Sport ladyy