Weee miso misondo πππMjumbe hauwawiii!!!
Kwa hisani ya wafukua makaburi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2986177
We nawe umepigwa kizembe na kidney, nilijua mjanja kumbe hamna kitu ndugu yangu πni hatari ila tushamjua.
Figo anashambukia hatariππ kunataka kukucha hapa au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asha hamishia line ingne mda,Usijekufanya watu warudishe miamala bure [emoji23]
Umepigajee hapoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee miso misondo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nina watoto wakike, maneno yako yamenisikitisha sana.Tafuta sponsor wa usafirishaji, wa nywele, wa kodi na kukutoa out weekend. Unakaaje kizembe town.
Shangaziii unaniangushaa ujuee, [emoji23][emoji23][emoji23]Jicho la upako et eeh aunt nisije nikachanganya madesa [emoji3]
Mspoil sana. Akitoka nje asiwe limbukeniNina watoto wakike, hii imenisikitisha sana
Tililii tiliiUmepigajee hapoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Course mpya na wewe ulisema umemaliza chuo una miaka miwili nyumbani na ulimalizia Mzumbe..hahaha
Sasa mimba alitoa au alizaa? Halafu kumbe alisoma MU sio Udsm tena? Mbona anatuchanganya kadogooo namna gani πMjumbe hauwawiii!!!
Kwa hisani ya wafukua makaburi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2986177
Yaaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulijua watu wanamwaga pesa nje nje [emoji23]
Umeambiwa weka namba tukuchangie unasubiri nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatariii tupuuuMbona hiyo iko wazi sema anawaingiza kwenye mfumo wajae, pesa na baridi hii apewe na nani??
Shangazi Yako siunajua la nne B ngumbaruπππShangaziii unaniangushaa ujuee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana ndio ulimwengu wa kike huoNina watoto wakike, hii imenisikitisha sana
Pole sana,ila kaka yako alitaka uzinduke usingizini,hiyo ajira ya 250kHapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake
Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..
Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka
Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe
Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..
Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi
Ni hayo tu wakuu