Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Nimesoma hadi page ya 4 hili swali halijajibiwa. Itoshe kusema mleta uzi kadogo2 NI TAPELI na hapaswi kuaminiwa. Katoa namba ya simu kwenye page ya 4 kwa kulazimishwa sana na watu. Mtu aliye serious angesema kasoma wapi na nini ili asaidiwe kazi na sio kuwa ombaomba.
Namba nilishatoa ipo juu kabisa,, umeona wanavonikejeli
 
Hayo maneno ya sponsor na kudanga ni rejesta mzee baba hayana maana moja ya jumla kwenye kiswahili rasmi kwaiyo kila mtu anaweza kuzitumia katika angle yake ilimradi tu wao wanaowasiliana wanaelewana
Hakuna neno ambalo kila mtu anaweza kulitumia katika angle yake haijalishi ni rejesta au msimu lazima liwe na maana moja ya kueleweka ambayo jamii inaijua, kwenye mahusiano hapa bongo ukisema sponsor kila mtu anajua ni mwanaume mwenye uwezo kiuchumi ambaye anadate na mwanamke kwa lengo la kuchunwa, hao wanunuaji wa siku moja wana majina yao yani wewe unataka kuniambia mpiga debe wa buza naye akiamua kununua malaya wa buku tano tayari kashakuwa sponsor wakati inajulikana sponsor hatakiwi kuwa mlala hoi lazima awe na uwezo fulani kiuchumi
 
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini

Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake

Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..

Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka

Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe

Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..

Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi

Ni hayo tu wakuu

0679494293. Rahma Yusuf
😂😂😂😂kumanina wallah nchi ngumu hii
 
Namba Joseph mtoa mada Rahma
 
Mbona hata wewe Nimeshaona uzi zako kama mbili ulizozileta zote zimekaa kidangaji dangaji au biashara imekua ngumu?
 
Jimena ushauri wako ni mzuri dear.ilaa bunju to magomeni unujua umbali wake? Aende Kwa baiskeli?
Mfano aanzie mwembechai akanyage pedali Hadi Ubungo mataa,[emoji134]
Akangayage Tena Hadi mwenge mataa[emoji134]
Mwenge mpaka kawe ama tegeta to bunju
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2772][emoji2772][emoji2772]

Utakua unakaa mkoani wewe.
Kwahiyo unaona bora awe anaomba na kuendelea kunyanyasika kiasi hiki??
FYI sijawahi kuishi mkoa wowote ule ndani ya Tanzania nje ya Dsm.
 
Hakuna neno ambalo kila mtu anaweza kulitumia katika angle yake haijalishi ni rejesta au msimu lazima liwe na maana moja ya kueleweka ambayo jamii inaijua, kwenye mahusiano hapa bongo ukisema sponsor kila mtu anajua ni mwanaume mwenye uwezo kiuchumi ambaye anadate na mwanamke kwa lengo la kuchunwa, hao wanunuaji wa siku moja wana majina yao yani wewe unataka kuniambia mpiga debe wa buza naye akiamua kununua malaya wa buku tano tayari kashakuwa sponsor wakati inajulikana sponsor hatakiwi kuwa mlala hoi lazima awe na uwezo fulani kiuchumi
Baki na ubishi wako. Kama upo around na kijichi njoo hapa getway tumwagilie moyo kijana wikiend tayari
 
maumivu yakuachie alama ya ukomavu, sio fikra za kudanga and the likes kumbuka hakuna tuzo za mateso, usijitese na usiteseke jenga akilini mwako kuwa hii ni hali yakupita
 
Back
Top Bottom