Namba nilishatoa ipo juu kabisa,, umeona wanavonikejeliNimesoma hadi page ya 4 hili swali halijajibiwa. Itoshe kusema mleta uzi kadogo2 NI TAPELI na hapaswi kuaminiwa. Katoa namba ya simu kwenye page ya 4 kwa kulazimishwa sana na watu. Mtu aliye serious angesema kasoma wapi na nini ili asaidiwe kazi na sio kuwa ombaomba.
0679497293 Rahma YusufWeka no yako wasamaria wema watakusaidia. Jiepushe sana na maisha ya umalaya ya kutafuta pesa. Siyo mazuri. Mwombe Mungu atakusaidia. Atakuonyesha njia.
Hakuna neno ambalo kila mtu anaweza kulitumia katika angle yake haijalishi ni rejesta au msimu lazima liwe na maana moja ya kueleweka ambayo jamii inaijua, kwenye mahusiano hapa bongo ukisema sponsor kila mtu anajua ni mwanaume mwenye uwezo kiuchumi ambaye anadate na mwanamke kwa lengo la kuchunwa, hao wanunuaji wa siku moja wana majina yao yani wewe unataka kuniambia mpiga debe wa buza naye akiamua kununua malaya wa buku tano tayari kashakuwa sponsor wakati inajulikana sponsor hatakiwi kuwa mlala hoi lazima awe na uwezo fulani kiuchumiHayo maneno ya sponsor na kudanga ni rejesta mzee baba hayana maana moja ya jumla kwenye kiswahili rasmi kwaiyo kila mtu anaweza kuzitumia katika angle yake ilimradi tu wao wanaowasiliana wanaelewana
Umesomea nini na wapi?Namba nilishatoa ipo juu kabisa,, umeona wanavonikejeli
ππππkumanina wallah nchi ngumu hiiHapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake
Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..
Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka
Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe
Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..
Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi
Ni hayo tu wakuu
0679494293. Rahma Yusuf
Mkuu ifafanue hiyo kiroho safiKifupi kazi unayofanya inamaslah madogo na inakua ngumu kujikimu, anyway ukiitaji nauli ya kuanzia sema⦠kiroho safi
Namba Joseph mtoa mada RahmaHapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake
Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..
Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka
Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe
Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..
Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi
Ni hayo tu wakuu
0679494293. Rahma Yusuf
Oh please give me a break inaonekana ulikuwa unamtafuta mtu wa kummalizia stress zako, ukamkosa sasa kwa bahati nzuri ukaingia huku ukakutana na mimi, ndio ukaamua uzimalizie kwangu..psychopath!!View attachment 2986705
Aisee.Hakuna muamala mpk sasa
Mkuu, wajinga ndio waliwao,Na anaonekana ni mwanaume huyu.
Pathetic!![emoji706]
MmmhUnatuambia sisi ili iweje?
Unapoelekea unaenda kutiwa mimba na bodaboda.
Kwahiyo unaona bora awe anaomba na kuendelea kunyanyasika kiasi hiki??Jimena ushauri wako ni mzuri dear.ilaa bunju to magomeni unujua umbali wake? Aende Kwa baiskeli?
Mfano aanzie mwembechai akanyage pedali Hadi Ubungo mataa,[emoji134]
Akangayage Tena Hadi mwenge mataa[emoji134]
Mwenge mpaka kawe ama tegeta to bunju
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2772][emoji2772][emoji2772]
Utakua unakaa mkoani wewe.
Baki na ubishi wako. Kama upo around na kijichi njoo hapa getway tumwagilie moyo kijana wikiend tayariHakuna neno ambalo kila mtu anaweza kulitumia katika angle yake haijalishi ni rejesta au msimu lazima liwe na maana moja ya kueleweka ambayo jamii inaijua, kwenye mahusiano hapa bongo ukisema sponsor kila mtu anajua ni mwanaume mwenye uwezo kiuchumi ambaye anadate na mwanamke kwa lengo la kuchunwa, hao wanunuaji wa siku moja wana majina yao yani wewe unataka kuniambia mpiga debe wa buza naye akiamua kununua malaya wa buku tano tayari kashakuwa sponsor wakati inajulikana sponsor hatakiwi kuwa mlala hoi lazima awe na uwezo fulani kiuchumi
ππππ kila mdangaji ana story yake simanzi mkuu, mjini hapaMbona hata wewe Nimeshaona uzi zako kama mbili ulizozileta zote zimekaa kidangaji dangaji au biashara imekua ngumu?