Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Pole sana kadogo......ndio maisha. Watu wanapitia mengi sana....hata kaka yako anapitia mengi huwez jua ni kiasi gan anajibana ahudumie familia na ahudumie nyumban. Uwe mvumilivu....unayopitia Sasa hivi sio hatma ya maisha yako ni mapito tu. Na Kila mtu ana mapito yake. Kwa neema ya Mungu ipo siku utasahau yote haya unayopitia sasa. Jipe moyo....usidange
 
Kuna wadada wengi wamedanga na kufanikiwa kujenga nyumba nzuri, kumiliki magari makali na biashara kubwa.

Huwa nawashangaa sana wadada wanaoziacha k zao zinachakaa kwa UTI kwa kutozitumia kutafuta hela.
 
Kwahiyo unaona bora awe anaomba na kuendelea kunyanyasika kiasi hiki??
FYI sijawahi kuishi mkoa wowote ule ndani ya Tanzania nje ya Dsm.
Hey sawa umeishi dsm..lakini nlichojua nakuelewesha ni umbali toka eneo tajwa Hadi jingine.
Bunju Hadi magomeni ni mbali sana
Pia sijasema ni Bora aendelee kuomba na kunyanayasika.kuna option nyingine nyingi kapeea hapo ikiwemo kutafuta room nafuu maeneo ya karibu Ili save pesa.

Hizo changamoto tajwa hata mie nazipitia right now na nakaza moyo.so namuelewa.

Ni hayo.na kama nimekukwaza Kwa comment yangu...I'm sorry kipenzi[emoji4]
 
Nilitaka kukutumia chochote, lakini file lako ni chafu! Acha wengine wasaidie
 
Mhmhm
 
Umeulizwa umesomea nini, lakini bado haujajibu. Pia umesema umehitimu chuo, hiyo elimu yako ni Diploma au Degree. Be serious, you can get serious helper.
 
Kuna wadada wengi wamedanga na kufanikiwa kujenga nyumba nzuri, kumiliki magari makali na biashara kubwa.

Huwa nawashangaa sana wadada wanaoziacha k zao zinachakaa kwa UTI kwa kutozitumia kutafuta hela.
Itategemea huyo mdangaji anakutana na wanaume wa aina gani na ana akili ipi ya kuweza kufanya kitu cha maendeleo vinginevyo anaweza jikuta anaishia kumiliki nguo nzuri, mawigi, simu ya gharama na habari yake inakua imeishia hapo.
 
Reactions: G4N
Nakuunga mkono hapa, mwenye akili kawaid ku-twist details mimi sijawahi kuandika location yangu ya ukweli, chuo nilichosoma kwa stori ya kawaida tu kwafaida gani upoteze anonymous yako.
 
Kugawa namba kwa strangers ndo mwanzo huo wa kuda....
 
Dah! Nimelia saana
Sasa ukilia wewe...inamsaidia nini yeye!?....

Lia na ugumu wa maisha yako!, na sio ugumu wa maisha ya mwingine!

Maana mkandarasi wa maisha yako ni wewe mwenyewe! Ni either uchague kujenga chini ya kiwango! It's up to u....

Hatutakuwepo kukuokoa pindi nyumba uliyoijenga na kusimamia mwenyewe itakapo kuwa inaanguka!

Dunia imechakaa sana siku hizi...wapo watunzi Wazuri sana wa script!...

Maana unaweza tumia akili tu...ukapata pesa pasipo kuvuja jasho!

And that's social Engineering!
 
Kifupi kazi unayofanya inamaslah madogo na inakua ngumu kujikimu, anyway ukiitaji nauli ya kuanzia sema… kiroho safi
Mzee baba vipi wewe ndio unatakiwa kujiongeza hadi namba ya simu imeachwa hapo kwenye bandiko
 
Hapo namba za simu ni za nini, au ndiyo kujitangaza kwenyewe huko na kaka mtu ikawa ndiyo sababu ya kujitangaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…