Leo ndio siku sahihi kwa Manchester United kulipa kisasi kwa Liverpool

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Msimu wa 2009/2010 nahodha wa liverpoolfc wakati huo Seven Gelard alichoma kwa makusu mechi dhidi ya chelseafc wafungwe ili Manchester united wasichukue ubingwa mwaka huo, alipo hojiwa alisema
"Nina jezy za timu zote epl kasoro ya Manchester united"

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Video ya Gelard akichoma kwa makusudi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Huyo mtu uliyemtaja nilikuwa namuhusudu saana awapo uwanjani kwangu mimi ndio midfielder bora ya kiingereza kwa muda wote na mchezaji bora wa kiingereza namba 2 nyuma ya wayne rooney..

Ngoja tuone usiku wa leo utaleta kitu gani, dua la kuku halimpati mwewe, natamani kuona the reds wakinyakua kombe hili, ikiwezekana yote mawili epl na ucl.
 
Msimu wa 2009/2010 nahodha wa liverpoolfc wakati huo Seven Gelard alichoma kwa makusu mechi dhidi ya chelseafc wafungwe ili Manchester united wasichukue ubingwa mwaka huo, alipo hojiwa alisema
"Nina jezy za timu zote epl kasoro ya Manchester united"

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Video ya Gelard akichoma kwa makusudi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Acha urongo, Man. Utd hakuwa kwenye posibility yoyote ya kupata ubingwa kwa msimu huo. Possibility pekee ilikuwa ni ama kwa Man. City ama Liverpool. Na kusema ukweli Gerard aliichoma Liverpool kuliko timu nyingine yoyote. Lakini pia man. Utd kwa sasa hana uwezo wowote wa kuifunga timu yoyote iliyo top six na kwa hivyo asitafute kisingizio eti atafungwa kwa makusudi ili kuwakomoa Liver, atafungwa ni vile hana uwezo.
 
Umemix mafaili mkuu hyo sio ile ya Ba aliyo tereza fatiria vizuri kumbu kumbu mkuu
 
Acha urongo, Man. Utd hakuwa kwenye posibility yoyote ya kupata ubingwa kwa msimu huo. Possibility pekee ilikuwa ni ama kwa Man. City ama Liverpool. Na kusema ukweli Gerard aliichoma Liverpool kuliko timu nyingine yoyote. Lakini pia man. Utd kwa sasa hana uwezo wowote wa kuifunga timu yoyote iliyo top six na kwa hivyo asitafute kisingizio eti atafungwa kwa makusudi ili kuwakomoa Liver, atafungwa ni vile hana uwezo.
We kiazi kweli tofautisha hapo goli la drogba na goli la demba ba tena torres akaja kuwapigilia msumari wa pili kocha wenu brendan rodgers
 
Hivi unadhani kati ya Man United, Man City na Liverpool nani ni Rivals zaidi ?, Derby technically ni Man United na City; Liverpool na Man United ni sababu tu kipindi kile hizi timu zote zilikuwa juu kwahio rivalry yao ikawa ya nani zaidi, kwahio mkuu hakuna shabiki yoyote wa City atafurahia ushindi wa Man United and vice versa..., this is really Derby kumbuka huu ni mji mmoja mwenzako akishinda kazini, pub au hata nyumba moja unaweza ukajikuta majivuno ya mwenzako yanakukosesha raha
 
Acha urongo, Man. Utd hakuwa kwenye posibility yoyote ya kupata ubingwa kwa msimu huo. Possibility pekee ilikuwa ni ama kwa Man. City ama Liverpool. Na kusema ukweli Gerard aliichoma Liverpool kuliko timu nyingine yoyote. Lakini pia man. Utd kwa sasa hana uwezo wowote wa kuifunga timu yoyote iliyo top six na kwa hivyo asitafute kisingizio eti atafungwa kwa makusudi ili kuwakomoa Liver, atafungwa ni vile hana uwezo.
Gerrard aliwahi kuchoma ili Man U wasichukue ubingwa.
 
Hivi unadhani kati ya Man United, Man City na Liverpool nani ni Rivals zaidi ?, Derby technically ni Man United na City; Liverpool na Man United ni sababu tu kipindi kile hizi timu zote zilikuwa juu kwahio rivalry yao ikawa ya nani zaidi, kwahio mkuu hakuna shabiki yoyote wa City atafurahia ushindi wa Man United and vice versa..., this is really Derby kumbuka huu ni mji mmoja mwenzako akishinda kazini, pub au hata nyumba moja unaweza ukajikuta majivuno ya mwenzako yanakukosesha raha
Aisee hujui kitu kuhusu Liverpool na Man U uhasimu wao. Ila kwa kifupi uadui wao ni wa kwenye pitch hadi nje ya pitch. Nje ya pitch ni mambo ya kiuchumi
 
Msimu wa 2009/2010 nahodha wa liverpoolfc wakati huo Seven Gelard alichoma kwa makusu mechi dhidi ya chelseafc wafungwe ili Manchester united wasichukue ubingwa mwaka huo, alipo hojiwa alisema
"Nina jezy za timu zote epl kasoro ya Manchester united"

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Video ya Gelard akichoma kwa makusudi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Man kibonde tu.....kapigwa 4 na Everton, atawaweza Man City.....
 
Acha urongo, Man. Utd hakuwa kwenye posibility yoyote ya kupata ubingwa kwa msimu huo. Possibility pekee ilikuwa ni ama kwa Man. City ama Liverpool. Na kusema ukweli Gerard aliichoma Liverpool kuliko timu nyingine yoyote. Lakini pia man. Utd kwa sasa hana uwezo wowote wa kuifunga timu yoyote iliyo top six na kwa hivyo asitafute kisingizio eti atafungwa kwa makusudi ili kuwakomoa Liver, atafungwa ni vile hana uwezo.
Utapewa maneno yasiyofaa kwa umbumbumbu wako.
 
Hivi unadhani kati ya Man United, Man City na Liverpool nani ni Rivals zaidi ?, Derby technically ni Man United na City; Liverpool na Man United ni sababu tu kipindi kile hizi timu zote zilikuwa juu kwahio rivalry yao ikawa ya nani zaidi, kwahio mkuu hakuna shabiki yoyote wa City atafurahia ushindi wa Man United and vice versa..., this is really Derby kumbuka huu ni mji mmoja mwenzako akishinda kazini, pub au hata nyumba moja unaweza ukajikuta majivuno ya mwenzako yanakukosesha raha
Simba na Yanga za England ni Liverpool na Man U na siyo Man U na City. Hata kama Simba na Azam zote zinatoka Dsm, siku zikikutana haziwezi kuwa mechi ya watani wa jadi. Man Utd Vs Man City ni Manchester Derby, lakini Man Utd Vs Liverpool ni England Derby (Wenyewe wanapenda kuiita North England Derby). Hivyo kitendo cha Gerald kujifanya ameteleza kilikuwa kinainyima Man U ubingwa muhimu ambao waliona ni afadhali uchukuliwe na Chelsea kuliko Man U ambao wangewazidi idadi ya vikombe vya ubingwa.
 
Aisee hujui kitu kuhusu Liverpool na Man U uhasimu wao. Ila kwa kifupi uadui wao ni wa kwenye pitch hadi nje ya pitch. Nje ya pitch ni mambo ya kiuchumi
Mkuu ninachokwambia ndicho kilichopo UK hakuna games ambazo kwenye mji husika zinakuwa na rivaly ya kufa mtu kama mji mmoja.., Liverpool na Man United ni sababu kipindi hicho zote zilikuwa na viwango na zinagombania ubingwa mfano Arsenal na Man United kipindi cha Sir Alex na Wenger wakati Arsenal yupo juu..., ila kwa mji husika Derby is everything.., sema hii watu hawaifeel internationally kutokana na kwamba City kipindi United yupo juu yeye alikuwa kibonde..., ila all in all Man U Fan hawezi kuwapenda City, kama ambavyo Arsenal na Spurs.., mkuu hio ndio habari, kama mshabiki wa Everton ambavyo hawezi kuipenda Liverpool ila sababu Gap ni kubwa ya viwango ndio maana internationally watu hawafuatilii....

Kumbuka its all about Rivarly kama timu mbili zikiwa top 2 kwa kipindi kirefu kunakuwa na Rivary (e.g. Liverpool / Man United ) zimechukua makombe mengi hence rivarly between them... this is temporary mmoja uwezo ukishuka na mwenyewe analoose

Time kutoka sehemu moja Hii rivarly ni ya forever hata iweje mtu hawezi kushabikia mwenzake
 
Simba na Yanga za England ni Liverpool na Man U na siyo Man U na City. Hata kama Simba na Azam zote zinatoka Dsm, siku zikikutana haziwezi kuwa mechi ya watani wa jadi. Man Utd Vs Man City ni Manchester Derby, lakini Man Utd Vs Liverpool ni England Derby (Wenyewe wanapenda kuiita North England Derby). Hivyo kitendo cha Gerald kujifanya ameteleza kilikuwa kinainyima Man U ubingwa muhimu ambao waliona ni afadhali uchukuliwe na Chelsea kuliko Man U ambao wangewazidi idadi ya vikombe vya ubingwa.
Acha kulinganisha mpira wa nchi yoyote ile na England mkuu, England watu wengi wanapenda their local teams na sii vinginevyo..., Hivi unajua timu gani ina washabiki wengi Manchester ?, City ni kama timu ya mji United ni nje ya mji kwahio mkuu ndio maana mashabiki huwa wanaimba Glory Glory Alleluyah..., Au Glory Hunters kwamba mashabiki wa United wanaipenda sababu ya kupata vikombe na sio vinginevyo..., na United ina mashabiki wengi nje ya Manchester kuliko ndan..., kwahio mkuu story za kuachia local Derby ili timu ishinde sababu ya Gerald au huyu ana makombe mengi ni habari za kufikilika, internationally mashabiki wanaweza kupenda zaidi hilo game ila locally nothing beats Liverpool vs Everton; Man United vs Man City au Birmingham vs Villa.., achana na habari za Simba Yanga na Azam..
 
Hivi unadhani kati ya Man United, Man City na Liverpool nani ni Rivals zaidi ?, Derby technically ni Man United na City; Liverpool na Man United ni sababu tu kipindi kile hizi timu zote zilikuwa juu kwahio rivalry yao ikawa ya nani zaidi, kwahio mkuu hakuna shabiki yoyote wa City atafurahia ushindi wa Man United and vice versa..., this is really Derby kumbuka huu ni mji mmoja mwenzako akishinda kazini, pub au hata nyumba moja unaweza ukajikuta majivuno ya mwenzako yanakukosesha raha

One of the top rivalry in Football Sports ni North West Derby (chini hapo nakuwekea top 3 derbies of all time):

Man Utd vs Liverpool - North West Derby
Barca vs R Madrid - El Clasico
River Plate vs Boca Juniors - Superclasico
 
Mkuu ninachokwambia ndicho kilichopo UK hakuna games ambazo kwenye mji husika zinakuwa na rivaly ya kufa mtu kama mji mmoja.., Liverpool na Man United ni sababu kipindi hicho zote zilikuwa na viwango na zinagombania ubingwa mfano Arsenal na Man United kipindi cha Sir Alex na Wenger wakati Arsenal yupo juu..., ila kwa mji husika Derby is everything.., sema hii watu hawaifeel internationally kutokana na kwamba City kipindi United yupo juu yeye alikuwa kibonde..., ila all in all Man U Fan hawezi kuwapenda City, kama ambavyo Arsenal na Spurs.., mkuu hio ndio habari, kama mshabiki wa Everton ambavyo hawezi kuipenda Liverpool ila sababu Gap ni kubwa ya viwango ndio maana internationally watu hawafuatilii....

Kumbuka its all about Rivarly kama timu mbili zikiwa top 2 kwa kipindi kirefu kunakuwa na Rivary (e.g. Liverpool / Man United ) zimechukua makombe mengi hence rivarly between them... this is temporary mmoja uwezo ukishuka na mwenyewe analoose

Time kutoka sehemu moja Hii rivarly ni ya forever hata iweje mtu hawezi kushabikia mwenzake
So unataka kutuambia Rivary ya Liverpool na Man u kwa sasa haina nguvu ?
 
Rivalry ya Man United vs Liverpool goes way back, nenda Wikipedia bosi, inagusa mpaka issues za industrialization na economic issues.

Ukiamua kusoma utaelewa, ila ukiamua kubaki na msimamo wako ni sahihi pia.
 
Back
Top Bottom