Acha dharau wewe...lisalimie X6 lako[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha ukikuta watu pembeni ya dimbwi unawasalimia kwa adabu unawauliza hapa vipi..unaambiwa pita pembenipembeni kaka!
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Na anayajua balaa!
Tena unayajua si mchezo, sio saloons wala hatchbacks...SUV sio!! Kwa hiyo dream SUV yako ni ipi?Haa haaa haaa....mkuu achana na kitu inaitwaa gari, ( nazungumzia SUV lkn)
Daah wewe jamaa bwana!Ha ha ha ukikuta watu pembeni ya dimbwi unawasalimia kwa adabu unawauliza hapa vipi..unaambiwa pita pembenipembeni kaka!
Laivu mwanangu,Mali nipe mpya? Mvua ikinyesha huku uswazi unaumbuka muda wowote u gotta be humble!
Hahahaha,Duh ngoja waje wenyewe wathibitishe
hahaa watu mnamaneno..MVUA jinsi zilivyokiwa na majaribu kama umeoa halafu huna Gari lazima uchapiwe tu mkeo "" maana sidhani kama mkeo ataweza kukataa lifti akiwa anarudi kutoka kazini "" wakati mvua ya mnyeshea na bado anachelewa kurudi nyumbani""Haya mkuu...tembea na nyumba yako kama kobeπππ
Kama upo Dar sasa hivi kuna mvua inamwagika balaa! Kitakuwa kifurushi cha mwezi hiki!hahaa watu mnamaneno..MVUA jinsi zilivyokiwa na majaribu kama umeoa halafu huna Gari lazima uchapiwe tu mkeo "" maana sidhani kama mkeo ataweza kukataa lifti akiwa anarudi kutoka kazini "" wakati mvua ya mnyeshea na bado anachelewa kurudi nyumbani""
hapo ndio utakapo ijua NGUVU ya GARI"" na ndio utaijua haswaaa maana halisi haswaa YA MSAMIATI USEMAO YAJAYO YANAFURAJISHA
Naomba lift Mkuu.Kama upo Dar sasa hivi kuna mvua inamwagika balaa! Kitakuwa kifurushi cha mwezi hiki!
Umesahau Bajaji chap chapKutoka wapi kwenda wapi? Hivi zama hizi za Uber na Taxify bado kuna watu wanaomba lift?
Hapa kwtu mambo safi wanawake wanakwambia muda bado had mavuno ndo wanawakumbuka wanaume maan sas hiv usawa unakabaHivi hiyo mvua ikowapi? Kama iko darisalama mbona mnataka kufanya kama imenyesha kote tz...sisi huku mikoani hamna mafuriko wala mvua mambo ni safi na inanyeesha kistaarabu....
Msilete mambo ya nuhu na ndugu zake yalitokea mafuriko huko kwao basi waka assume kama basi dunia nzima kulikua na mafuriko...
Unapotoa habari kua specific
bado nakuwaza mkuu maana hali ndio kama unavyoina tena siku ya leoHii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?
Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele