Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Ha ha ha ukikuta watu pembeni ya dimbwi unawasalimia kwa adabu unawauliza hapa vipi..unaambiwa pita pembenipembeni kaka!
Acha dharau wewe...lisalimie X6 lako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haya mkuu...tembea na nyumba yako kama kobe🙂🙂🙂
hahaa watu mnamaneno..MVUA jinsi zilivyokiwa na majaribu kama umeoa halafu huna Gari lazima uchapiwe tu mkeo "" maana sidhani kama mkeo ataweza kukataa lifti akiwa anarudi kutoka kazini "" wakati mvua ya mnyeshea na bado anachelewa kurudi nyumbani""

hapo ndio utakapo ijua NGUVU ya GARI"" na ndio utaijua haswaaa maana halisi haswaa YA MSAMIATI USEMAO YAJAYO YANAFURAJISHA
 
Kama upo Dar sasa hivi kuna mvua inamwagika balaa! Kitakuwa kifurushi cha mwezi hiki!
 
Hivi hiyo mvua ikowapi? Kama iko darisalama mbona mnataka kufanya kama imenyesha kote tz...sisi huku mikoani hamna mafuriko wala mvua mambo ni safi na inanyeesha kistaarabu....

Msilete mambo ya nuhu na ndugu zake yalitokea mafuriko huko kwao basi waka assume kama basi dunia nzima kulikua na mafuriko...

Unapotoa habari kua specific
Hapa kwtu mambo safi wanawake wanakwambia muda bado had mavuno ndo wanawakumbuka wanaume maan sas hiv usawa unakaba
 
Hii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?

Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele
bado nakuwaza mkuu maana hali ndio kama unavyoina tena siku ya leo
 
Back
Top Bottom