Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!


[emoji23] [emoji23] [emoji23] HAKIKA
 
109 huwa naona yale ma breakdown truck tu!
 
Mwenye gari anaepambana kwenye foleni ili awahi kwa mwajiri wake kumfanyia kazi ili apate kodi ya kulipa nyumba na mwenye nyumba aliyejiajiri ameamua kulala tu leo maana hakuna anaempangia shughuli zake yupi ana maisha?

Ngoja hizo Passo na Vitz zenu ziingie maji kwenye engine zizime halafu mchelewe makazini kama hamkukutana na barua za kupumzishwa kazi kama sio kufukuzwa kazi kwa uzembe.
 
Kwani hamna mwenye gari aliejiajiri? Dua la kuku...
 
kuna mmoja katumbukiza ki vtz chake kwenye mtaro asubuh ya Leo. eti maji yameziba mpaka mitaro haiyonekan
 

tehe
Kama nakuona vile na wivu wako.
bora sie kuliko we unaeoga matope tunayo kurushi
hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…