Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Hii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?

Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele
Eheheee
 
Na Land Rover 109 v8 langu sina habari.Kuna sehemu nawaonea huruma wenye vitz,ist na passo wanapata tabu kweli.
Jana niliamua kutoa msaada wa kuvuta hayo magari tena navuta gari mbili kwa mpigo.Kuna kamlima kana udongo wa mfinyanzi halafu pamechimbika.
Acha utoto
 
HBL_16page-01-011.jpg

Fursa kwa wengine, mbona hata mabwanyenye wanaishi kama sisi tu!
 
Acha wivu wewe....

sina wivu mkuu.
maana hata mim nipo kwenye level hiyo but hua sina haja ya kujivuna wakt kitu chenyewe chepes maji yakizid tair kidogo tu kinasombwa na maji kuleeeeee
 
sina wivu mkuu.
maana hata mim nipo kwenye level hiyo but hua sina haja ya kujivuna wakt kitu chenyewe chepes maji yakizid tair kidogo tu kinasombwa na maji kuleeeeee
Mtu chake....
 
Back
Top Bottom