Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
EheheeeHii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?
Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele