Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

hahahahaaa we jamaa umejua kunichoma.....afu na mke wangu yupo humuhumu...[emoji4]

Aibuuuuu[emoji16]
 
Nna ka vitz hapa utakubali
Embu tafuta gari banah, japo kama hiyo au mfano wa hiyo
IMG-20170228-WA0002.jpg
 
Hivi mwenye mshahara wa laki tatu na anapanga nyumba vyumba viwili na ana watoto wanasoma anaweza kumudu gari? Nisaidie mchanganuo ili kesho nilitafute mvua zikikatika.
Hawezi atakuwa mwizi lazima awe na kitega uchumi kingine
 
Mwenye gari anaepambana kwenye foleni ili awahi kwa mwajiri wake kumfanyia kazi ili apate kodi ya kulipa nyumba na mwenye nyumba aliyejiajiri ameamua kulala tu leo maana hakuna anaempangia shughuli zake yupi ana maisha?

Ngoja hizo Passo na Vitz zenu ziingie maji kwenye engine zizime halafu mchelewe makazini kama hamkukutana na barua za kupumzishwa kazi kama sio kufukuzwa kazi kwa uzembe.
What if mwenye Nyumba nae kaajiriwa
 
Hii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?

Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele
Meona eeh!.......wenyenyumba kwa vichambo hawajambo but leo ndo wanaongoza kuomba lift!
 
Siku ya tatu leo mvua inanyesha non-stop! Ndo nimeona umuhimu wa kuoa na kua na kagari hata kama kale ka Lodi Lofa.. 😀😀😀
Hivi na we huna gari?

Mbwembwe zote hizo[emoji23] [emoji23]
 
Shida hii ni ya siku chache sana, ukilinganisha na mateso wanayo yapata wapangaji wa nyumba zenye shida
 
Shida hii ni ya siku chache sana, ukilinganisha na mateso wanayo yapata wapangaji wa nyumba zenye shida
Nyumba kama ina shida una hama tu
 
Muhimu ni kuwa baba mwenye gari na baba mwenye nyumba, hii mvua unapaki gari ccm unatembea hadi home ni heri tu kuwa both.
 
Back
Top Bottom