GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Sawa mkuuKama ambavyo kunyeshewa au kushindwa kwenda kutafuta pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuKama ambavyo kunyeshewa au kushindwa kwenda kutafuta pesa.
Mkuu, stress za kupanga hazina mfanowe, sijui kama unaweza kuzilinganisha na hali hii ya mvua. Hapo hujakosana na mwenye nyumba akakupa notice ya miezi mitatu, karaha ya kuhama...aggggr hapana aisee.Unalipa mwaka huku ukiendelea kudunduliza...sasa hii mvua unafanyaje kwa mfano?
Haiji ghafla lakini ikija stress haziishi nakuambia, 250-500kpm kwa mwaka mzima kama tu kuna sehemu ulikosea kudunduliza, utaomba poo, tena ukutane na landlord mkali.
Kipindi hiki bajaj zinaokoa "baba wenye nyumba".
Haya bwana ngoja sisi tulale maana kupanda Africana kuchukua Daladala kumenishinda.Hio sasa ni thread kama sio somo la miezi kadhaa.
Dashboard ya Harrier tamuuNiliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa
Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn
View attachment 746006
At least nchi zilizoendelea zina reliable all weather transport system.gari ni muhimu kama simu...ya mkononi...kama hauna usafiri umasikini uankusogelea..maana unatumia muda mwingi na pesa nyingi.na kuvuruga mipango yako..pia inasaidia mtu kutojua mambo yako kirahisi...nchi zilizoendelea bila gari ni mateso....sanaaa
Mkuu, tena kwa jiji la Dar unaweza kuacha gari nyumbani siku kama ya leo. Kuna maeneo mengi leo njia zimefungwa, gari hazipiti.At least nchi zilizoendelea zina reliable all weather transport system.
Hahahahah kwanini tena ???Asante mkuu...ila yale maeneo yenu mvua hata inyeshe mwezi haisumbui.
Umenena mkuu...bongo kuwa na gari we ni tajiri[emoji15]gari ni muhimu kama simu...ya mkononi...kama hauna usafiri umasikini uankusogelea..maana unatumia muda mwingi na pesa nyingi.na kuvuruga mipango yako..pia inasaidia mtu kutojua mambo yako kirahisi...nchi zilizoendelea bila gari ni mateso....sanaaa
Pamoko mtani. Mwishiki wanje..Haaa haaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...cheer up mkuu
Si unajuaga mimi na veve
[emoji28] [emoji28] Kinini hicho?Pamoko mtani. Mwishiki wanje..
hahaha[emoji23][emoji28][emoji23]Niliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa
Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn
View attachment 746006
hahahaWale wa vitz, Felder,Mazda
Kama nawaona mnavokwepa
Morogoro road maeneo ya magomen
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Hee hee kweli hiiEmbu tafuta gari banah, japo kama hiyo au mfano wa hiyo
View attachment 746103