Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Mzee nimezungumzia wale waliojiajiri nisome vizuri.
Ila kama naye kaajiriwa hata akichelewa kazini akafukuzwa au kupumzishwa kazi bado ana advantage kubwa ya kuishi town maana ataishi kwa kutegemea kodi atakazowatoza wapangaji wake huku akitafuta kazi nyengine tofauti na ambae ni mpangaji maana kazi hana atatoa wapi hela ya kulipa nyumba?
Mwenye gari nae atajisajili uber ataendelea kula vichwa Mdogo Mdogo huku akisubiri ajira....but vipi mwenye Nyumba akiwa amejenga family house tu ambayo huwez kuipangisha atapataje hiyo kodi? Au ataiotoa family yake airudishe kijijini ili apangishe Nyumba?
 
Hii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?

Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thamani ya ndumba ndio inaonekana leo unafika ofisini hujalowa na watu hawajui umefikaje... Lazima tuheshimiane mwaka huu
 
Niliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa

Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn

View attachment 746006
Nimekwamaa
IMG-20180414-WA0031.jpeg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thamani ya ndumba ndio inaonekana leo unafika ofisini hujalowa na watu hawajui umefikaje... Lazima tuheshimiane mwaka huu
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]
ss chief si utangaze biashara watu waje...hakuna haja ya mwamvuli wala boots, watu wavuke tu jangwani pale bila kulowa
 
Mwenye gari nae atajisajili uber ataendelea kula vichwa Mdogo Mdogo huku akisubiri ajira....but vipi mwenye Nyumba akiwa amejenga family house tu ambayo huwez kuipangisha atapataje hiyo kodi? Au ataiotoa family yake airudishe kijijini ili apangishe Nyumba?
Well...inatokea ndiyo,kama amejenga nyumba nzuri hiyo nyumba ataipangisha kisha yeye ataenda kupanga sehemu nyengine nyumba ya bei rahisi kidogo salio litakalobaki ataendeshea maisha{hii nishawahi kuishuhudia kwa jamaa yangu baada ya kuyumba kimaisha}.

Tu-assume huyu mwajiriwa anamiliki mfano Toyota Kluger na akaigeuza Uber siku bahati mbaya akapata mzinga akavunja taa moja haitamtoka chini ya 400K kwa headlight moja sasa si faida ya mwezi mzima?Kwa mtazamo wangu huwezi kuzifananisha hizi assets mbili.

Moja inabidi kila wakati utoe pesa mfukoni kuihudumia ambapo hii ni kama hasara hali yakuwa nyengine inajihudumia yenyewe.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thamani ya ndumba ndio inaonekana leo unafika ofisini hujalowa na watu hawajui umefikaje... Lazima tuheshimiane mwaka huu
Ee banaeee...!
 
Back
Top Bottom