Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Wale wa vitz, Felder,Mazda

Kama nawaona mnavokwepa
Morogoro road maeneo ya magomen
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Kwani zile mwendokasi ni VITZ au PASSO?
 
Dude...you are taking this issue soooo serious....we are in chit chat forum
Kuna watu wanachukuliaga kila story humu ni hali halisi kumbe mtu ana stress zake, kaja kuchangamsha ubongo hapa!
 
Nimejibu kumfurahisha tu huyo....kama nimeweza kubadili magari ambayo yannahitaji cash kununua nitashindwa kujenga kwa style yetu ya kudunduliza?
Aaah mi nakuelewa....we mtu mkubwa sana, uzuri mi nakufahamu ila we hunijui! Which is good!
 
Kama nina nyumba, basi buti za mvua, koti la mvua na mwamvuli vinayosha sana hapa dar kwa wakati huu. Viatu vya kuvaa ofisini unaweka tu ktk rambo kisha ktk begi mgongoni safari hiyooooo!
 
Niliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa

Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn

View attachment 746006
hayo magari ndo yatadumisha ndoa au hayo magari ndio yataleta chakula mezani au hayo magari ndio yatampa mimba mke ndani ya ndoa
 
Well...inatokea ndiyo,kama amejenga nyumba nzuri hiyo nyumba ataipangisha kisha yeye ataenda kupanga sehemu nyengine nyumba ya bei rahisi kidogo salio litakalobaki ataendeshea maisha{hii nishawahi kuishuhudia kwa jamaa yangu baada ya kuyumba kimaisha}.

Tu-assume huyu mwajiriwa anamiliki mfano Toyota Kluger na akaigeuza Uber siku bahati mbaya akapata mzinga akavunja taa moja haitamtoka chini ya 400K kwa headlight moja sasa si faida ya mwezi mzima?Kwa mtazamo wangu huwezi kuzifananisha hizi assets mbili.

Moja inabidi kila wakati utoe pesa mfukoni kuihudumia ambapo hii ni kama hasara hali yakuwa nyengine inajihudumia yenyewe.
Sasa umetoa mfano wa kluger but hujatoa mfano wa thamani ya nyumba (most like ni kwa dar coz dar ndo kuna uber if am not mistakenly) nimesema hivyo coz kluger ni around 20m kwa bei recently but Nyumba ya around 20m utaipata wapi dar (including kiwanja)utakayo ipangisha kwa hata Laki 2?
Unaposema utatoa hela nyingi kwa maintenance sawa ni kweli ukicompare na Nyumba but that's business na running costs ndo hizo but bear in mind kwamba the higher the risk the higher the income and vice versa
 
Back
Top Bottom