Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasira za nini?Acha utoto
Baba mwenye gari shikamoo! [emoji134][emoji134][emoji134]Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele
SanteeeKiupendo
Kwani zile mwendokasi ni VITZ au PASSO?Wale wa vitz, Felder,Mazda
Kama nawaona mnavokwepa
Morogoro road maeneo ya magomen
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenye nyumba huyo ana hasira kwelikwelini wakati wao huu chief....relax [emoji1][emoji1]
Mvua ikiisha na wao wanakwisha.
Tafuta nyumba sasa na wewe senior bachelor[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio mkuu mimi baba mwenye gari.....this aint about me.
Kuna watu wanachukuliaga kila story humu ni hali halisi kumbe mtu ana stress zake, kaja kuchangamsha ubongo hapa!Dude...you are taking this issue soooo serious....we are in chit chat forum
Aaah mi nakuelewa....we mtu mkubwa sana, uzuri mi nakufahamu ila we hunijui! Which is good!Nimejibu kumfurahisha tu huyo....kama nimeweza kubadili magari ambayo yannahitaji cash kununua nitashindwa kujenga kwa style yetu ya kudunduliza?
kama.si spacio hii ni noahUkiskia shogaako anaetaka mwendesha
Tractor uniambie
Hii yang hata jangwaaaan inapta
Yeah!!Duh!
hahaha[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenye nyumba huyo ana hasira kwelikweli
Kulowana mchezoo
hayo magari ndo yatadumisha ndoa au hayo magari ndio yataleta chakula mezani au hayo magari ndio yatampa mimba mke ndani ya ndoaNiliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa
Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn
View attachment 746006
Sasa umetoa mfano wa kluger but hujatoa mfano wa thamani ya nyumba (most like ni kwa dar coz dar ndo kuna uber if am not mistakenly) nimesema hivyo coz kluger ni around 20m kwa bei recently but Nyumba ya around 20m utaipata wapi dar (including kiwanja)utakayo ipangisha kwa hata Laki 2?Well...inatokea ndiyo,kama amejenga nyumba nzuri hiyo nyumba ataipangisha kisha yeye ataenda kupanga sehemu nyengine nyumba ya bei rahisi kidogo salio litakalobaki ataendeshea maisha{hii nishawahi kuishuhudia kwa jamaa yangu baada ya kuyumba kimaisha}.
Tu-assume huyu mwajiriwa anamiliki mfano Toyota Kluger na akaigeuza Uber siku bahati mbaya akapata mzinga akavunja taa moja haitamtoka chini ya 400K kwa headlight moja sasa si faida ya mwezi mzima?Kwa mtazamo wangu huwezi kuzifananisha hizi assets mbili.
Moja inabidi kila wakati utoe pesa mfukoni kuihudumia ambapo hii ni kama hasara hali yakuwa nyengine inajihudumia yenyewe.