Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
kwann.......Hawa jamaa wanazingua sana mwanangu.
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwann.......Hawa jamaa wanazingua sana mwanangu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwenye gari nae atajisajili uber ataendelea kula vichwa Mdogo Mdogo huku akisubiri ajira....but vipi mwenye Nyumba akiwa amejenga family house tu ambayo huwez kuipangisha atapataje hiyo kodi? Au ataiotoa family yake airudishe kijijini ili apangishe Nyumba?Mzee nimezungumzia wale waliojiajiri nisome vizuri.
Ila kama naye kaajiriwa hata akichelewa kazini akafukuzwa au kupumzishwa kazi bado ana advantage kubwa ya kuishi town maana ataishi kwa kutegemea kodi atakazowatoza wapangaji wake huku akitafuta kazi nyengine tofauti na ambae ni mpangaji maana kazi hana atatoa wapi hela ya kulipa nyumba?
Sasa hiyo nayo ni gari au uchafu wa gari wakisema wapite wenye magari mumeo atapitaNiliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa
Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn
View attachment 746006
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thamani ya ndumba ndio inaonekana leo unafika ofisini hujalowa na watu hawajui umefikaje... Lazima tuheshimiane mwaka huuHii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?
Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele
Zunguka mwenyewe mkuu hapa jamvini uone,kila mmoja leo anazungumzia mvua na kumiliki gari as if hii mvua ni ya milele.
NimekwamaaNiliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa
Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn
View attachment 746006
Nimenunua nyumba kwa miezi 12(nimelipa kodi ya mwaka)
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ukiskia shogaako anaetaka mwendesha
Tractor uniambie
Hii yang hata jangwaaaan inapta
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thamani ya ndumba ndio inaonekana leo unafika ofisini hujalowa na watu hawajui umefikaje... Lazima tuheshimiane mwaka huu
ni wakati wao huu chief....relax [emoji1][emoji1]Zunguka mwenyewe mkuu hapa jamvini uone,kila mmoja leo anazungumzia mvua na kumiliki gari as if hii mvua ni ya milele.
huo ni udhembe ss...hio gari sio ya kukwama hapo [emoji20][emoji20]NimekwamaaView attachment 746162
Tayari nshaanza kupata odahahaha [emoji23][emoji28][emoji23]
ss chief si utangaze biashara watu waje...hakuna haja ya mwamvuli wala boots, watu wavuke tu jangwani pale bila kulowa
Well...inatokea ndiyo,kama amejenga nyumba nzuri hiyo nyumba ataipangisha kisha yeye ataenda kupanga sehemu nyengine nyumba ya bei rahisi kidogo salio litakalobaki ataendeshea maisha{hii nishawahi kuishuhudia kwa jamaa yangu baada ya kuyumba kimaisha}.Mwenye gari nae atajisajili uber ataendelea kula vichwa Mdogo Mdogo huku akisubiri ajira....but vipi mwenye Nyumba akiwa amejenga family house tu ambayo huwez kuipangisha atapataje hiyo kodi? Au ataiotoa family yake airudishe kijijini ili apangishe Nyumba?
Hapana nimeweka four wheel na gia nimeweka L lakini wapi... Kuna mkono wa mtu sasa subiri... Imagine ofisini nitaendaje kwa hali hii[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] akuanzaye mmalizehuo ni udhembe ss...hio gari sio ya kukwama hapo [emoji20][emoji20]