GE2025 Leo ndio Uchaguzi unafanyika, Oktoba inabaki kutiki tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mangi Mlay

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
5,743
Reaction score
7,106
Leo tarehe 4 August wakati wana CCM tunapochagua wagombea ni vyema ikajulikana ni siku muhimu kuliko hata Octoba 29.

Leo ndio wanapatikana zaidi 80% ya Wabunge na wengi wanaoshinda leo wanakuwa na 90% ya uhakika wa kuwa Wabunge
 
Maamuzi ya wajumbe yaheshimiwe, kule juu wasipangue waliyemchagua
 
Leo tarehe 4 August wakati wana CCM tunapochagua wagombea ni vyema ikajulikana ni siku muhimu kuliko hata Octoba 29.
Leo ndio wanapatikana zaidi 80% ya Wabunge na wengi wanaoshinda leo wanakuwa na 90% ya uhakika wa kuwa Wabunge
wanapatikana 100% ya wabunge
CHAUMMA waione hii kwenye faili lao la UBWABWA!
 
Leo tarehe 4 August wakati wana CCM tunapochagua wagombea ni vyema ikajulikana ni siku muhimu kuliko hata Octoba 29.
Leo ndio wanapatikana zaidi 80% ya Wabunge na wengi wanaoshinda leo wanakuwa na 90% ya uhakika wa kuwa Wabunge
Na kizuri zaidi, tayari karatasi za kura zimeishajazwa.
 
Nimetua Leo Daslamu kutoka Ukerewe
Kwa jinsi nilivyokuwa nafatilia hizi habari za NRNE zilivyokuwa mitandaoni nilidhani nitakuta zimepamba moto hasa
Mbona kimya mitaani na sikuona hata mkutano mmoja wa Chadema popote
Kwani so wameruhusiwa kufanya mikutano ?
 
Mitandao inamashujaa sana mtu akiwa online anaweza hata kumpiga mkwara CDF
 

Attachments

  • 20250801_082748.jpg
    58.2 KB · Views: 22
Wakati wa Magufuli alikuwepo Bulembo na Mke wake na Binti yao Halima.
Siyo kitu cha ajabu hata kidogo
 
Sasa mkuu Chadema wafanye mkutano wa nini huku wamesema hawashiriki huo ujinga?
 
Wakati wa Magufuli alikuwepo Bulembo na Mke wake na Binti yao Halima.
Siyo kitu cha ajabu hata kidogo
Hapana shida, lengo ni kujua kwa kiasi gani taratibu hizo zimeota mzizi leo hii 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…