GE2025 Leo ndio Uchaguzi unafanyika, Oktoba inabaki kutiki tu

GE2025 Leo ndio Uchaguzi unafanyika, Oktoba inabaki kutiki tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
K
Nimetua Leo Daslamu kutoka Ukerewe
Kwa jinsi nilivyokuwa nafatilia hizi habari za NRNE zilivyokuwa mitandaoni nilidhani nitakuta zimepamba moto hasa
Mbona kimya mitaani na sikuona hata mkutano mmoja wa Chadema popote
Kwani so wameruhusiwa kufanya mikutano ?
wa ukerewe sasaivi ni ni dunia nyingine ambayo hakuna hata vyombo vya habari kukuonyesha kuwa cdm imezuiwa kufanya siasa mpaka kesi ya mgawanyo wa mali iamulowe?
 
Back
Top Bottom