Nimetua Leo Daslamu kutoka Ukerewe
Kwa jinsi nilivyokuwa nafatilia hizi habari za NRNE zilivyokuwa mitandaoni nilidhani nitakuta zimepamba moto hasa
Mbona kimya mitaani na sikuona hata mkutano mmoja wa Chadema popote
Kwani so wameruhusiwa kufanya mikutano ?