Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
Wanajamvi leo ndiyo siku ya kusikiliza kwa mara nyingine kesi iliyokwisha kutolewa hukumu.
Hukumu iligubikwa na mambo mengi ya sitofahamu kama vile kuonewa na kukomoana.
Macho na masikio ya watanzania karibu wote watataka kujua kipi kitakocho tokea leo mahakamani kumuhusu babu seya na mwanae.
Kwa upande mwingine watu wanasema kwanini li kapuya achukuliwi hatua yeyote hadi dakika hii,au kwa vile amesema yeye ndiye atakuja kuwa pm mtarajwa?! Shame on him kapu head mtaaramu wa down.
All the best Babu seya
Mungu akawatangulie,warudi tena duniani
Kwa jina la yesu,naamuru wawe huru.
Kwa jina la yesu,naamuru wawe huru.
Mwenyezi Mungu na awahurumie iwapo wameonewa, na awape ahueni kwani imetosha sasa.
nikweli mkuu! Lakini inauma kuona wakina kapuya wanadunda mtaani na kuendele kuwa kubaka na kutembea na wake za watu na kuendelea kuwaambukiza virusi vya ukimwi kwa makusudi,pasipo kuchukuliwa hatua yoyote. Kwa sababu yeye ni ccm!
Mungu akawatangulie,warudi tena duniani
Wakitoka tu nawashauri waende kwao Kongo wamroge perpatrator wao kifanyio kihamie kwenye paji la uso..
Wakitoka tu nawashauri waende kwao Kongo wamroge perpatrator wao kifanyio kihamie kwenye paji la uso..