Leo ndiyo leo,kuachiwa ama kuendelea kutumikia kifungo kwa babu seya na mwanae

Status
Not open for further replies.

Noel france

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
1,104
Reaction score
917
Wanajamvi leo ndiyo siku ya kusikiliza kwa mara nyingine kesi iliyokwisha kutolewa hukumu.
Hukumu iligubikwa na mambo mengi ya sitofahamu kama vile kuonewa na kukomoana.
Macho na masikio ya watanzania karibu wote watataka kujua kipi kitakocho tokea leo mahakamani kumuhusu babu seya na mwanae.
Kwa upande mwingine watu wanasema kwanini li kapuya achukuliwi hatua yeyote hadi dakika hii,au kwa vile amesema yeye ndiye atakuja kuwa pm mtarajwa?! Shame on him kapu head mtaaramu wa down.
 
Mwenyezi Mungu na awahurumie iwapo wameonewa, na awape ahueni kwani imetosha sasa.
 
Mungu akawatangulie,warudi tena duniani
 
Gamba na 1 likisoma huu uzi litaamua kufanya kweli. Kumkomelea Babu na mwanae na Kapuya kuwa huru. Hawa jamaa hawana hutu tena. Kama wanaweza kulipua bomu ktk ya maelfu ya watu...nini unachotegemea.
 
Mwenyezi Mungu na awahurumie iwapo wameonewa, na awape ahueni kwani imetosha sasa.

nikweli mkuu! Lakini inauma kuona wakina kapuya wanadunda mtaani na kuendele kuwa kubaka na kutembea na wake za watu na kuendelea kuwaambukiza virusi vya ukimwi kwa makusudi,pasipo kuchukuliwa hatua yoyote. Kwa sababu yeye ni ccm!
 
Kinachomlinda Kapuya ni kwanza ni ccm, pili ana hela, tatu anauza unga na hakamatwi, nne ni Waziri mkuu mtarajiwa kupitia ccm ya Kikwete...
 
sheria ile waliyoivunja (kulawiti na kunajisi watoto) imeandikwa kwa kiswahili fasaha kabisa na vifungu vimewekwa kwenye kitabu hiki hapa BOFYA SHERIA KWA KISWAHILI
 
Mkuu (jamhuri) akiamua watoke watatoka ila akiamua kukaza hakuna ataetoka labda aje rais mpya toka nje ya maccm,kwao ukweli ni dhambi na dhambi ndiyo ukweli
 
Wakitoka tu nawashauri waende kwao Kongo wamroge perpatrator wao kifanyio kihamie kwenye paji la uso..

Watanzania tutaweka wapi nyuso zetu mbele ya picha ya raisi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom