Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,591 Reaction score 6,946 Oct 12, 2017 #61 msukuma fekero said: Kweli kafanya kazi iliyotukuka ila wote vilaza Dinho ndo fundi pekee hapa duniani kwa bashasha na nderemo bila kununa wala kumtukana mtu uwanjani Click to expand... Unasema dinho ndio fundi. Ebu weka facts na evidence ili cc wadau tuamini kama nikweri alikuwa fundi hata kumzidi iniesta. Ili awe juu ya king Messi. Kwanza kabisa awapiku 1-DIEGO MARADONA, 2-PELE 3-ALFREDO DE STEFANO, 4-ZIDANE 5-INIESTA 6-IBRACADABRA 7-DE LIMA n.k Akiwapiku hao!!! ndio umlinganishe uyo gaucho na THE KING MESSI.
msukuma fekero said: Kweli kafanya kazi iliyotukuka ila wote vilaza Dinho ndo fundi pekee hapa duniani kwa bashasha na nderemo bila kununa wala kumtukana mtu uwanjani Click to expand... Unasema dinho ndio fundi. Ebu weka facts na evidence ili cc wadau tuamini kama nikweri alikuwa fundi hata kumzidi iniesta. Ili awe juu ya king Messi. Kwanza kabisa awapiku 1-DIEGO MARADONA, 2-PELE 3-ALFREDO DE STEFANO, 4-ZIDANE 5-INIESTA 6-IBRACADABRA 7-DE LIMA n.k Akiwapiku hao!!! ndio umlinganishe uyo gaucho na THE KING MESSI.