Leo ndiyo leo: Messi, Ronaldo vitani kupambania mataifa yao

Leo ndiyo leo: Messi, Ronaldo vitani kupambania mataifa yao

Kweli kafanya kazi iliyotukuka ila wote vilaza Dinho ndo fundi pekee hapa duniani kwa bashasha na nderemo bila kununa wala kumtukana mtu uwanjani

Unasema dinho ndio fundi. Ebu weka facts na evidence ili cc wadau tuamini kama nikweri alikuwa fundi hata kumzidi iniesta.

Ili awe juu ya king Messi. Kwanza kabisa awapiku
1-DIEGO MARADONA,
2-PELE
3-ALFREDO DE STEFANO,
4-ZIDANE
5-INIESTA
6-IBRACADABRA
7-DE LIMA n.k


Akiwapiku hao!!! ndio umlinganishe uyo gaucho na THE KING MESSI.
 
Back
Top Bottom