Leo ndiyo leo: Messi, Ronaldo vitani kupambania mataifa yao

Leo ndiyo leo: Messi, Ronaldo vitani kupambania mataifa yao

It looks like Argentina will qualify automatically, unless Ecuador score twice or Chile score thrice in Brazil.

The latest scores
Brazil 2-0 Chile
Ecuador 1-3 Argentina
Paraguay 0-1Venezuela
Peru 0-1 Colombia
Uruguay 4-1
 
Aliyekuwa na kibarua na peru vs colombia, chile vs brazil...
Ecuador angeshinda angefungwa nafasi yake ni ile ile...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Na co ki2 cha ajabu Argentina kukualify,,,na c ki2 cha ajabu King kupiga hatrick au 4G. Huyu ndio THE KING kuwahi kutokea. Hafananishwi na michezaji mingine

Kweli kafanya kazi iliyotukuka ila wote vilaza Dinho ndo fundi pekee hapa duniani kwa bashasha na nderemo bila kununa wala kumtukana mtu uwanjani
 
Back
Top Bottom