Leo ndiyo nimeijua rasmi tabia ya ' Mwanasiasa Mwanasayansi ' kutokea yaliko Mawe makubwa ya Miamba Tanzania

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,643
1. Kumbe nae ni Mkeshaji na Mtumiaji mzuri tu wa Mitandaoni kama Sisi wengine na pengine katuzidi
2. Maamuzi yake mengi anayatoa kuwakomoa wana Mitandao ( JamiiForums ) ikiwemo na Twitter
3. Ni mwepesi sana Kudanganywa / Kudanganyika na Wasaidizi / Washauri wake hasa pale akiwa na Jazba.
4. Ni mwenye Pupa na Hasira / Jazba ambazo asipozidhibiti zitamgharimu na atakuja Kujutia
5. Anajinadi na hadi Kuisifia Sayansi ambayo Kiuhalisia Yeye Mwenyewe haitekelezi Kivitendo
6. Ana Ustaarabu wa Machoni pekee ila ndani ya Moyo wake na Rohoni mwake ni Mpashkuna mno
7. Ana Ujasiri wa mbele ya Kamera ( Camera ) tu, ila ni Mtu Mmoja Mwoga kuwahi kutokea Tanzania
 
1. Kumbe nae ni Mkeshaji na Mtumiaji mzuri tu wa Mitandaoni kama Sisi wengine na pengine katuzidi
2. Maamuzi yake mengi anayatoa kuwakomoa wana Mitandao ( JamiiForums ) ikiwemo na Twitter
3. Ni mwepesi sana Kudanganywa / Kudanganyika hasa pale akiwa na Jazba.

Umepatia.
 
Eti anasema msitishike wakati yeye ametishika ile mbaya hadi kwenda mafichoni!
 
Za kuambiwa changanya na zako! Nimemsikia anasema watu wanamsema kuwa kajificha Chato,akasema yeye kambi popote akienda Moshi je?

Sasa mimi namwambia aende!
 
Na wale tuliowapa kura kutuwakilisha bungeni wakakimbia bunge kuogopa corona tunawasubiri kwa hasira October

Aliyezikimbia Nyumba zake Mbili za Magogoni na Chamwino na wale walioikimbia moja ya Bungeni yupi ni HATARI zaidi Kwako?
 
si mlitaka Rais ajitokeze mpate cha kuandika?
acheni akae hukohuko sisi tutafute ukweli
hapa jirani yetu jamaa kaondoka na Corona
 
Za kuambiwa changanya na zako!Nimemsikia anasema watu wanamsema kuwa kajificha Chato,akasema yeye kambi popote akienda Moshi je?
Sasa mimi namwambia aende!

Tangia lini amewahi kuwa na Mapenzi na Mkoa wa Kilimanjaro ( Moshi ) na hata Watu wa Kabila Kubwa la huko Ndugu yangu?
 
Za kuambiwa changanya na zako!Nimemsikia anasema watu wanamsema kuwa kajificha Chato,akasema yeye kambi popote akienda Moshi je?
Sasa mimi namwambia aende!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kweli wachaga mjitadhmini mlimkosea nini huyu jamaa hana mapenzi kabisa na Moshi sijui kwa nini hata anao wateuwa hakunaga mchaga ila huko kuna maendeleo shule barabara kuko vrz..ata usije kaa Chato maana ndo Ikulu ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom