Leo ndiyo nimeijua rasmi tabia ya ' Mwanasiasa Mwanasayansi ' kutokea yaliko Mawe makubwa ya Miamba Tanzania

Leo ndiyo nimeijua rasmi tabia ya ' Mwanasiasa Mwanasayansi ' kutokea yaliko Mawe makubwa ya Miamba Tanzania

Hadi huruma, hiyo lockdown ni hatari tupu, ila tuache masihara Covid-19 sio lelemama.

Mwacheni bana na yeye ni binadamu lazima aogope.

Chezea Corona Virus Kim enyewe kasepa na Trump anahangaika.
 
Upo sahihi 100%...

Ile No 2; kawajibu waliosema Mwigulu alikabidhi jimbo mapema kwani anakwenda kuwa mkuu wa wilaya....ha ha ha
 
Back
Top Bottom