Leo ndo nimegundua kumbe sijui ninachokitaka kwenye mahusiano

Hu
Huyu ndio Mimi, ila huyu hajajielewa. Mimi najielewa na ninajifahamu, sihitaji ushauri hivi nilivyonajipenda, na niendelee milele.
 
Simple, kwanza ondoa imani kuwa kuna mwanamke atakubadilisha. Sitisha mahusiano yote and start kuacha tabia hizo, fanya reverse start caring, hudhuria church or msikitini sana, shiriki events za kijamii stop kujitenga. You will start to change
Shukran
 
Hu

Huyu ndio Mimi, ila huyu hajajielewa. Mimi najielewa na ninajifahamu, sihitaji ushauri hivi nilivyonajipenda, na niendelee milele.
Jirekebishe ndugu kuna raia kasema ipo siku vitageuka.
 
Uko sawa hauna tatizo wewe ukibaki pekeyako. Everything is okay when you are alone.

Tatizo linaanzia ukijishikamanisha na mtu. Kwahiyo chakufanya stay single ishi maisha yako.

Acha kuingia kwenye mahusiano ambayo huna mpango nayo, unaumiza wengine. Ndio hapo unapogeuka mtu mbaya.
 
Nakubariana na wewe.

Nikiishi peke yangu nakuwa mtu poa sana au nikipata mahusiano yasiyo serious ama ya mbali huwa naenjoy maisha, shida inakuja nikiwa na haya ya karibu aisee hali inabadilika hadi nashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…