Leo ngoja nivisanue hivi vitoto va Gen Z

Kwa namba 11 kidogo kuna changamoto mkuu. Angekuambia anaenda kwenye interview Dodoma either ungemfukuza, kumzuia asiende. Japo alivyopata alipaswa akuambie kwamba amepata kazi kwengine. Changamoto nyingine unaweza kuta alipopaswa kwenda alihitajika asap ikabidi asiachie fursa
 
Unatafutaje fursa huku upo kwenye fursa huoni kama unaweza kushitakiwa mahakamani kwa kosa la kugonganisha mikataba,au haujui kuwa kujicommit kwa mtu kisha ukavunja mkataba ni kosa kisheria na unaweza shitakiwa mahakamani?

Kimsingi hata kama unaomba kazi sehemu ya uhakika ni lazima utazame upo katika mkataba wa namna gani kwasasa ili kabla ya kwenda sehemu mpya na kuanza mkataba mpya uwe umeshamaliza kudeliver wa zamani na kukabidhi kazi za watu vizuri ili na wao waweze kutransfer makujumu yako kwa mtu mpya.
 
Kwakweli hawa tuanze tembeza makonzi ili wajue wanatazamwa.
Mkuu ila hawa wakongwe wenzetu nao ni kipengere sana tu mi kwa kuondoa strec lazima niwe na kamoja ka 2000....
 
Kwa ninanyojua mkuu hapo alitakiwa awe dismised kwa utoro kazini na sheria za kazi zipo wazi.
Ila kama mlikua hamjampa mkataba wa kazi na alikua anajitolea bado alikua na grounds za kuondoka.
 
Mimi kama Gen Zers, kaka mkubwaa.
Nasema hivi kila mtu aishi hivi........!
Simama ulipo bhana, mwaka ndiyo unaisha hivo.
 
Kwenye kitabu cha mwanzo (Biblia) tulidokezwa kuwa kuna viumbe wa ajabu (majitu) ambayo yalitokana na muingiliano wa wana wa Adam na malaika. So nikiangalia kizazi cha sasa , hiyo story huwa inanifikirisha sana na kuhisi kuna hybrids miongoni mwetu.
 
Kwa ninanyojua mkuu hapo alitakiwa awe dismised kwa utoro kazini na sheria za kazi zipo wazi.
Ila kama mlikua hamjampa mkataba wa kazi na alikua anajitolea bado alikua na grounds za kuondoka.
Mzee angekuwa hana mkataba it means hana majukumu ya kudumu na kampuni.
 
Kwenye kitabu cha mwanzo (Biblia) tulidokezwa kuwa kuna viumbe wa ajabu (majitu) ambayo yalitokana na muingiliano wa wana wa Adam na malaika. So nikiangalia kizazi cha sasa , hiyo story huwa inanifikirisha sana na kuhisi kuna hybrids miongoni mwetu.
Hamna,hawa ni changamoto za malezi tu walizopitia ndio zimewapa mawenge.
 
Nyie mnatakiwa kupewa kichapo kila weekend
Aah! Mtuonee huruma wadogo/watoto wenu.
Hata mimi naogopa sana huko mbele yetu itakuwaje mkuu, hatukulelewa kwenye jamii mbovu kimaadili kama wakati huu. Wazazi wangu na jamii ya wakati huo nakua haina deni juu ya makuzi yangu.
Hata wakati huo maadili hayakua sawa 100% Ila wakati huu sasa ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.
Mkuu mimi kwa malezi yangu naweza himili hawa Gen Zers wenzangu, ila nikifikiri juu ya watoto na wapwa zangu kwa huu msingi uliopo sasa. Mmh๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ฅ.

Je, tufanye nini liwe suluhisho la haya?
 
Hiki ni kizazi kingine Mzee achana nao dunia itawafunza mbele ya safari
Hata hivyo kwasasa hata wale ambao sio Gen z wanaiga maisha ya Gen z
Dunia imeshaharibika
Vitoto vya kike kizazi cha Gen z ukikuta banda la uwani hapajavunjwa
Wanatoa tigo hadi laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ