Balaa lake ni ukosee uzae nako au ukaweke ndani kama mke,utakuja kuusoma huu uzi tena na kuuelewa mara mbili zaidi.😂 😂 😂 Mkuu yote uliyoandika yanakahusu haka kamchepuko kangu kitoto cha 2005.
Hasa hapo kwenye staili ya uandishi kwenye sms.
Kingine umepatia sana mkuu kwamba usipokatafuta na kenyewe kanakupotezea.
Mi haka kangu kanaweza kukupotezea, ukiona sms yake ujue ni ya kizinga japo vizinga vyake ni elfu 5 au ten basi.
Mie sina tabu nako maana kananiokoa sana nikiwa na upwiru kwa wife kukizingua.
Ila hivi vitoto vitamu balaa, yani mkikutana ni kazi kazi, usipokaa vizuri kinakutoa KO.
Surely.Kwa utafiti wangu mdogo, wazee wengi walikuwa waajiriwa ndio sahizi wanakula kiinua mgongo wachache sana walioamua kujiajili na kuanzisha biashara zao ,wengi walikuwa waoga sababu ya ujamaa kwamba mfumo haukuwaruhusu sahizi wanaishia kutoa vitisho tu,maarifa ya ulimwengu hawana, vijana sahivi wanaanzisha sana miradi na biashara sema wanapitia vishawishi vingi vya uraibu wa ngono kutokana na vyakula.
Nchi zetu zipo hapa kutokana na wazee wengi kutokuwa na maono ya ulimwengu unavyobadilika
Hapo sasa, 😂😂😂😂Gen Z wako busy kuichomoa nchi kwa wahuni wewe kibabu upo busy kuongelea ngono 🚮
😂😂😂😂😂Na hiyo inakuhusu wewe shuwain kabisa wewe 😂
Haya achani kugombana sasa,tunajenga nyumba moja,haina maana kunyang'anyana tofali.Zombie ni wewe mkuu hujioni, yaani unakubalije kuexchange energy na mtu ambaye unaamini kuwa ni nothing hamna kitu(Gen z), hujihurumii wewe
Embu kila mtu ashinde mechi zake bhn
Shida ya wazee ni kutotaka kuachia kijiti kwa madogo yaani sisi zao la millennials. Sisi ni zao ambalo tupo vema sana. Tumeweza kubalance elimu na utamaduni wa mwafrika. Imagine kutumia miaka 25 hadi 30 kwenye taasisi za kitaaluma then uishi kwa mujibu wa mila na desturi za utamaduni wako sio kazi rahisi.Mkuu punguza ushauri kila mtu ni mara yake ya kwanza kuishi hapa duniani.
Na unapozungumzia SUALA la Hawa Gen Z eti wakishika nchi wataiuza,,,,, huoni mifumo ya uongozi wa sasa inavyoenda mbona hamna product ya Gen Z Zaidi ya wazee wenzenu tu, hauoni Hilo.
By Denis mpagaze
Wahenga waliposema , “Vijana wanambio, wazee wanajua njia,” kama wazee wanajua njia mbona wameipoteza Afrika? Maana Afrika inaviongozi wengi wazee.
Kuna taratibu lazima ufuate kabla haujaomba kazi mahala kwingine. Na hata ikatokea ukapata kazi sehemu nyengine na ukatakiwa kuripoti haraka pia zipo taratibu za kukabidhi majukumu na kazi kwa mwajiri wako wa sasa na yule mpya anatakiwa na kuwajibika kukupa ruhusa ya muda wa kukabidhi kazi mahala ulipo bila kuharibu mchongo wako mpya.Kwa namba 11 kidogo kuna changamoto mkuu. Angekuambia anaenda kwenye interview Dodoma either ungemfukuza, kumzuia asiende. Japo alivyopata alipaswa akuambie kwamba amepata kazi kwengine. Changamoto nyingine unaweza kuta alipopaswa kwenda alihitajika asap ikabidi asiachie fursa
Ingependeza Kama utatumia tu umoja, ukajisemea wewe mwenyewe maana Kuna product za Hilo zao lenu la millennial aiseee ni zero kabisa afadhali hata Gen z wa la Tano D,Shida ya wazee ni kutotaka kuachia kijiti kwa madogo yaani sisi zao la millennials. Sisi ni zao ambalo tupo vema sana. Tumeweza kubalance elimu na utamaduni wa mwafrika. Imagine kutumia miaka 25 hadi 30 kwenye taasisi za kitaaluma then uishi kwa mujibu wa mila na desturi za utamaduni wako sio kazi rahisi.
Ninyi si mnaona mlivyo disconnected na jamii ya muafrika yaani mnaishi kwa trends mna identity crisis katika utamaduni wa mwafrika.
Haya mazee ya Generation X ndio yameharibu kila kitu sababu ya tamaa,ukoloni na kukalia huku wakifelisha mifumo.
Hawakuelekezwa mipaka ya kuishi,wao wanaishi wanavyojiskia na akili zinapowaelekeza wao wanafanya.Hiki ni kizazi kingine Mzee achana nao dunia itawafunza mbele ya safari
Hata hivyo kwasasa hata wale ambao sio Gen z wanaiga maisha ya Gen z
Dunia imeshaharibika
Vitoto vya kike kizazi cha Gen z ukikuta banda la uwani hapajavunjwa
Wanatoa tigo hadi laana
Vina wakati mgumu Sana, baba na mama zao ni machawa pro max kutwa wanaimba na kuabudu wenzao mitandao I. Unategemea vitoto vitakuajeGenz Z unafikiri watasoma huu mkeka wote muheshimiwa ?
Mie nimeupitia kwakua ni mzee.. ila bila hivyo ningeishia ku comments
Ni wachache sana wapo hovyo wengi wako ndani ya mfumo wa utamaduni wa zamani tuliorithishwa. Mfano haweza vuta bangi,kuvaa mlegezo, au kufanya ujinga mbele za watu maana anaheshimu mfumo wa malezi aliokulia.Ingependeza Kama utatumia tu umoja, ukajisemea wewe mwenyewe maana Kuna product za Hilo zao lenu la millennial aiseee ni zero kabisa afadhali hata Gen z wa la Tano D,
Tatizo lenu nyie wazee wa millennial mnatekeleza hukumu kwa kuegemea upande mmoja, chambueni madhaifu ya pande zote mbili alafu muyaweke madhaifu hayo kwenye mizani tuje tujenge hoja hapa kwa pamoja ikiwezekana liwepo tu battle la hoja kati ya Gen z na product ya millennial tujengane hapa...Hawakuelekezwa mipaka ya kuishi,wao wanaishi wanavyojiskia na akili zinapowaelekeza wao wanafanya.
Kanaweza kulala na yeyote bila kujitathimini madhara yake.