Leo ni Birthday ya jina mbumbumbu kwa Simba

Lage alikua mwamba kwelikweli yaani aliweza kutamka neno ilo katika mkutano mkuu wa matawi yote na akatoka salama!!,[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Halafu hamkawii kupiga mayowe. Mkiwashwa huko lazima muwakumbuke wakunaji wenu
 
Kuna MBUMBUMBU GENTAMYCINE umemtia kapuni
 
Hivi inawezekana vipi mtu na akili zako timamu unakaa na picha za mashoga kwenye gallery ya simu yako! Au ndiyo tujiongeze na ule msemo wa Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba?
Usinipangie matumizi ya simu yangu,na hata wewe japo mjomba wangu ukibong'oa nakuweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…