Leo ni Birthday ya jina mbumbumbu kwa Simba

Leo ni Birthday ya jina mbumbumbu kwa Simba

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Leo tunaadhimisha kuasisiwa kwa jina la mbumbumbu kwa wahusika
20221114_214429.jpg

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Lage alikua mwamba kwelikweli yaani aliweza kutamka neno ilo katika mkutano mkuu wa matawi yote na akatoka salama!!,[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nichukue nafasi kutuma salamu kwa mbumbumbu wafuatao:-

1. Mbumbumbu Kalpana
2. Mbumbumbu pwilo
3. Mbumbumbu SAGAI GALGANO
4. Mbumbumbu Waminyato
5. Mbumbumbu DullyJr
6. Mbumbumbu Mshana Jr
7. Mbumbumbu Scars
8. Mbumbumbu Ghazwat
9. Mbumbumbu OKW BOBAN SUNZU
10. Mbumbumbu Proved
11. Na mwisho kabisa kwa mbumbumbu wote ambao sijafanikiwa kuwataja hapo juu.

Ujumbe; Sisi mashabiki kutoka upande wa pili tuko tayari kuwachangia chochote, ili ipatikane fedha ya kumjengea yule mwamba mnara wa kumbukumbu kwa ujasiri wake wa kuwaita mbumbumbu mbele yenu, halafu mkashindwa kumfanya kitu.
Halafu hamkawii kupiga mayowe. Mkiwashwa huko lazima muwakumbuke wakunaji wenu
 
Nichukue nafasi kutuma salamu kwa mbumbumbu wafuatao:-

1. Mbumbumbu Kalpana
2. Mbumbumbu pwilo
3. Mbumbumbu SAGAI GALGANO
4. Mbumbumbu Waminyato
5. Mbumbumbu DullyJr
6. Mbumbumbu Mshana Jr
7. Mbumbumbu Scars
8. Mbumbumbu Ghazwat
9. Mbumbumbu OKW BOBAN SUNZU
10. Mbumbumbu Proved
11. Na mwisho kabisa kwa mbumbumbu wote ambao sijafanikiwa kuwataja hapo juu.

Ujumbe; Sisi mashabiki kutoka upande wa pili tuko tayari kuwachangia chochote, ili ipatikane fedha ya kumjengea yule mwamba mnara wa kumbukumbu kwa ujasiri wake wa kuwaita mbumbumbu mbele yenu, halafu mkashindwa kumfanya kitu.
Kuna MBUMBUMBU GENTAMYCINE umemtia kapuni
 
Hivi inawezekana vipi mtu na akili zako timamu unakaa na picha za mashoga kwenye gallery ya simu yako! Au ndiyo tujiongeze na ule msemo wa Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba?
Usinipangie matumizi ya simu yangu,na hata wewe japo mjomba wangu ukibong'oa nakuweka
 
Back
Top Bottom