Leo ni final ya bongo star search

Leo ni final ya bongo star search

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Bongo star search imefikia hatua ya mwisho yaani final ya season ya mwaka Huu na tumeshuudia wasanii watano wakali wamebahatika kuingia kwenye final ambao ni meshack, Frank, leonard, Patricia na Patrick na Kati yao mmoja ndo ataibuka mshindi.

Maoni yangu: mshindi namuona anaweza akawa Frank au meshack.
 
Talent ya Ruby ni kubwa mnoo na mtizama hapa ktk fainal za bongo star search ana imba live kwa kifupi ktk historia ya bongo fleva,hamna anaye mfikia Ruby upande wa vocal.

Anajua kupanda na kushuka ,ana upepo wa kutosha.Angezaliwa mbele Ruby sasa hivi milionea.

Kwa kifupi Ruby ni CLASSIC material.
 
Kwahiyo huyo ndo mshindi wa BSS?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Talent ya Ruby ni kubwa mnoo na mtizama hapa ktk fainal za bongo star search ana imba live kwa kifupi ktk historia ya bongo fleva,hamna anaye mfikia Ruby upande wa vocal.

Anajua kupanda na kushuka ,ana upepo wa kutosha.Angezaliwa mbele Ruby sasa hivi milionea.

Kwa kifupi Ruby ni CLASSIC material.
Unamjua Lady Jay Dee a.k.a Binti Machozi, Commando, Mama Some Food?
 
Mshindi amepewa kiasi gani cha fedha? na vipi kuhusu mshindi wa pili nae anapata kiasi gani cha fedha?
 
Unamjua Lady Jay Dee a.k.a Binti Machozi, Commando, Mama Some Food?
Ruby ni habari nyingine hakuna hata mmoja anayemfikia hapa bongo sema cos yupo hapa bongo ndomaana wanamchulia poa yule angekuwa ni mmarekani huyo jamaa asingelitaja jina la jide mbele ya Ruby.huyo jide hata robo ya uwezo wa Ruby Hana
 
Mambo yanaenda kwa kasi sana yaani SREDI ya Final za BSS haina amsha amsha kabisa? Ndio tatizo la kuweka SHindano kwenye King'amuzi cha TBC,wangeweka Azam na DSTV comments zingekuwa kama Zote.
BSS ilikufa sababu kuna kipindi walipumzika. Walivyoanza tena wakapeleka TBC badala ya ITV haikuwahi kuweza kurudi tena kuwa kama ya miaka ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BSS ilikufa sababu kuna kipindi walipumzika. Walivyoanza tena wakapeleka TBC badala ya ITV haikuwahi kuweza kurudi tena kuwa kama ya miaka ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio makosa waliyofanya hao Mambwiga....Inasikitisha Final za BSS hakuna anayefatilia kama enzi za mwanzo za kina J4 Idd.
 
Back
Top Bottom