gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Barnabas ni msanii mkubwa sana na kama kufanikiwa tu kimuziki kafanikiwa sana kashatengeneza hitsongs kibao,kashapiga show karibia kila mkoa tanzania na east africa,n.k ana nyumba,ana gari ana studio yake,ana rekodi lebo yake, ana wasanii wake,km kupiga show ulaya kawahi kupiga, kwenye maisha kakuzidi almost kila kitu kuanzia hela hadi umaarufu,Nimekuuliza Barnaba ana nini?Tena ni msanii mwenye Talent kubwa.
Siku ukimwona karudi kwao Kigogo Luhanga usishangae,pamoja kuji establish kwake.