mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Na Ruby amekua mshindi no.2Talent ya Ruby ni kubwa mnoo na mtizama hapa ktk fainal za bongo star search ana imba live kwa kifupi ktk historia ya bongo fleva,hamna anaye mfikia Ruby upande wa vocal.
Anajua kupanda na kushuka ,ana upepo wa kutosha.Angezaliwa mbele Ruby sasa hivi milionea.
Kwa kifupi Ruby ni CLASSIC material.
Sent using Jamii Forums mobile app