Yah alitoka
Kwahiyo huyo ndo mshindi wa BSS?Talent ya Ruby ni kubwa mnoo na mtizama hapa ktk fainal za bongo star search ana imba live kwa kifupi ktk historia ya bongo fleva,hamna anaye mfikia Ruby upande wa vocal.
Anajua kupanda na kushuka ,ana upepo wa kutosha.Angezaliwa mbele Ruby sasa hivi milionea.
Kwa kifupi Ruby ni CLASSIC material.
Jamaa anajua Sana.
Unamjua Lady Jay Dee a.k.a Binti Machozi, Commando, Mama Some Food?Talent ya Ruby ni kubwa mnoo na mtizama hapa ktk fainal za bongo star search ana imba live kwa kifupi ktk historia ya bongo fleva,hamna anaye mfikia Ruby upande wa vocal.
Anajua kupanda na kushuka ,ana upepo wa kutosha.Angezaliwa mbele Ruby sasa hivi milionea.
Kwa kifupi Ruby ni CLASSIC material.
Namjua sana,lkn sauti yake haina nguvu kama ya Ruby.Unamjua Lady Jay Dee a.k.a Binti Machozi, Commando, Mama Some Food?
Ruby ni habari nyingine hakuna hata mmoja anayemfikia hapa bongo sema cos yupo hapa bongo ndomaana wanamchulia poa yule angekuwa ni mmarekani huyo jamaa asingelitaja jina la jide mbele ya Ruby.huyo jide hata robo ya uwezo wa Ruby HanaUnamjua Lady Jay Dee a.k.a Binti Machozi, Commando, Mama Some Food?
BSS ilikufa sababu kuna kipindi walipumzika. Walivyoanza tena wakapeleka TBC badala ya ITV haikuwahi kuweza kurudi tena kuwa kama ya miaka ile.Mambo yanaenda kwa kasi sana yaani SREDI ya Final za BSS haina amsha amsha kabisa? Ndio tatizo la kuweka SHindano kwenye King'amuzi cha TBC,wangeweka Azam na DSTV comments zingekuwa kama Zote.
Ndio makosa waliyofanya hao Mambwiga....Inasikitisha Final za BSS hakuna anayefatilia kama enzi za mwanzo za kina J4 Idd.BSS ilikufa sababu kuna kipindi walipumzika. Walivyoanza tena wakapeleka TBC badala ya ITV haikuwahi kuweza kurudi tena kuwa kama ya miaka ile.
Sent using Jamii Forums mobile app