DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Moja ya wachezaji wa aina yake waliowahi kutokea ulimwenguni, Ronaldinho na Zidane sijawahi kuona mfano wao, hakuna cha Maradona wala Pele
Utakuwa umeanza kushabikia soka miaka ya 2010+ sio kosa lako pia umriMimi huwa sipendi mtu anakuja hapa kumsifia mtu without evidence! Tunaomba takwimu za huyu mtu unaemsifia na za messi! Hatutaki ujanja ujanja hapa!
Moja ya wachezaji wa aina yake waliowahi kutokea ulimwenguni, Ronaldinho na Zidane sijawahi kuona mfano wao, hakuna cha Maradona wala Pele
Utakuwa umeanza kushabikia soka miaka ya 2010+ sio kosa lako pia umri
Maradona mbwia unga! Labda ni mungu wa mateja!Hadithi nzuri kweli,
Kama huyu naye ni nabii = binadamu, then Kina Zizou, Ronaldo de Lima, Romario, Pele, Weah, Garincha, n. k =malaika
Mungu ni MARADONA
Ingia you tube mzee na click "the best of Ronaldinho". We andaa GB zako za kutosha maana hautabanduka! Kitakachokuondoa ni GB zako kuisha!Mimi huwa sipendi mtu anakuja hapa kumsifia mtu without evidence! Tunaomba takwimu za huyu mtu unaemsifia na za messi! Hatutaki ujanja ujanja hapa!
Rejea clips za Dinho you tube halafu urudi hapa ulete mrejesho!Kama unazungumzia MAUNO na KUCHEKA CHEKA KA DEMU uwanjani ntakubaliana na wewe
Ingia you tube mzee na click "the best of Ronaldinho". We andaa GB zako za kutosha maana hautabanduka! Kitakachokuondoa ni GB zako kuisha!
Kumbuka falsafa ya Dinho ni "Mpira ni burudani, na kuburudisha mashabiki ndio kipau mbele"
Kwa hiyo kama unataka rekodi ya magoli mangapi alifunga, hiyo siyo fslsafa yake! Magoli huleta furaha ya ushindi lakini si burudani! Goli linaweza kufungwa hata kwa mkono, au la kujifunga nk!
Kwa mbishi yeyote andaa GB zako kisha ingia you tube na clic " The best of Ronaldinho" utaletewa clips kibao kisha njoo hapa ulete mrejesho!
Basi utakuwa umeziangalia clip zake kwa kutumia MIWANI ya makengeza!You tube nishaangalia kitanbo tena achana na hizo GB zako ni WI~FI....atasubiri saana na umri huo umeshamwendea na hakuna anachokifanya ni bora akastaafu angalau apate heshima