Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka


asipobanduka ntakuja kumbandua
 
Zile burudani zake mbona hata Jay Jay Okocha alikuwa anazipiga mara nyingi tu?
 
 
Zile burudani zake mbona hata Jay Jay Okocha alikuwa anazipiga mara nyingi tu?

Mkuu utaumiza kichwa bure kubishana na type za namna hii...wakati gaucho hayumo hata top 20 lkn bado wabishi tu wabishi tu,
 
Zile burudani zake mbona hata Jay Jay Okocha alikuwa anazipiga mara nyingi tu?

okocha huyuhuyu ambae hakuwahi kucheza timu kubwa Ulaya?

okoha huyuhuyu ambae hana kombe lolote la kimataifa kwa ngazi ya klabu?

mkuu dhambi zako hazikutoshi tu mpaka uchume za lazima za kumponda Dinho Magic?
 
habari za kuwepo mteule huyu zilianza pale tu alipokuwa na umri wa miaka 13 pale alipoifungia timu yake ya mtaani magoli 23-0
 
Mkuu utaumiza kichwa bure kubishana na type za namna hii...wakati gaucho hayumo hata top 20 lkn bado wabishi tu wabishi tu,

In the
following match against Siena on 17 January 2010, Ronaldinho scored his first hat-trick for Milan when he converted a spot kick, scored
with a header from a corner and finished with a wonder goal from 20 yards out.
 
Kama unazungumzia MAUNO na KUCHEKA CHEKA KA DEMU uwanjani ntakubaliana na wewe

In 2005, he received international honors during the FIFA Confederations Cup and was also awarded with the Ballon d'Or.
 
1...DIEGO MARADONA hakuna asiemjuwa
2...LEO ANDRES MESSI hata mtoto mdogo anamfahamu vizuri sana huyu kiumbe ni wa pekee ktk wachezaji
3...HAKUNA
4...ZIDANE, ALFREDO DE STEFANO,PELE,REDONDO,BECKENBAUER nk...

BEFORE FAME
He was nicknamed El Gaucho at the age of 8 because he was smaller than most of his peers. When he was 13, he scored 23 goals in a 23–0 match.
 
Hahaha watu wanamleta messi duu messi kwa dinho si anaingia mara mia wallah
 
Nimefuatilia uzi kuanzia mwanzo nimegundua wanaomsifia messi ni kizazi kipya kwa bahati mbaya sana hawakufanikiwa kumwona dinyo enzi zake mimi ni mshabiki wa chelsea lakini kila nikikumbuka lile goli lake la mwili napata shaka huyu hakuwa binaadam wa kawaida na kwa kuwasaidia tu hao watoto wa juzi ni kwamba huyo messi mpaka peter cech anaondoka chelsea alikua hajawahi mfunga so messi ni mchezaji wa kawaida sana na akijaribu kuhama ligi ndio atapotea kabisa
 
27/06 alaf hv uchezaj bora wa dunia dinho kachukua mara ngapi vile??

mara mbili mfululizo.
tena uzuri wake akiwashinda wanasoka nyota wa ukweli ktk ulimwengu wa Soka.
 

si hilo tu...
hako kanesi hakajawahi kumpita Nesta na kwenda kufunga goli au kafunge goli Nesta akiwepo uwanjani.

na hakana World Cup, Copa America wala Grande Coppa Ribertadores
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…