Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka

Nafikir utakuwa unamzungumzia King wa Soka duniani

“Ronaldinho is very hard to stop because his game is impossible to read. He never makes the same feint twice in a row. Even when I’d watched several videos of him, he was still hard to counter. He is simply too unpredictable and sharp.” — Daniel van Buyten
 
Huyo nesta na maldini walifanywa uchochoro na Walter pandian na roy makaay,sembuse messi!!
Mkuu umepata kitu cha arusha nini???


“Ronaldinho is total class – a very, very great player. He is quick, powerful, and has extraordinary technical qualities. He is a dribbler but is also a player who can make the play for his teammates. He’s not really a No.10, a true organizer. He’s more a second attacker who can score goals and has the vision to make them.” — Zinedine Zidane
 
Hahaha watu wanamleta messi duu messi kwa dinho si anaingia mara mia wallah

Tatizo lenu wabongo mnaangalia jina hili ndi tatizo letu! Maradona na messi style zao za kipekee, hakuna mchezaji yeyote aliyeweza kuiga style zao hadi now...labda ktk wachezaji wa Argentina waliopita na wa sasa baadhi yao wamejitahidi kiasi flan...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nimefuatilia uzi kuanzia mwanzo nimegundua wanaomsifia messi ni kizazi kipya kwa bahati mbaya sana hawakufanikiwa kumwona dinyo enzi zake mimi ni mshabiki wa chelsea lakini kila nikikumbuka lile goli lake la mwili napata shaka huyu hakuwa binaadam wa kawaida na kwa kuwasaidia tu hao watoto wa juzi ni kwamba huyo messi mpaka peter cech anaondoka chelsea alikua hajawahi mfunga so messi ni mchezaji wa kawaida sana na akijaribu kuhama ligi ndio atapotea kabisa

Hamuna mpya bali ni chuki zimewazidi juu ya huyu kiumbe aliyerithi mkoba wa el Diego! alaf pia nimegundua tangu huyo jamaa yenu kaleta goli dhidi ya england naona mmepatiamo visababu vya vya kijinga kumlinganisha na kiumbe Magician Leo....wakati hata kiwango chake hajamfikia Cr ronaldo....
 
Nauliza tu king of football ni nani kama sio pele wa brazili basi utakua shabiki mandazi
 
Nimefuatilia uzi kuanzia mwanzo nimegundua wanaomsifia messi ni kizazi kipya kwa bahati mbaya sana hawakufanikiwa kumwona dinyo enzi zake mimi ni mshabiki wa chelsea lakini kila nikikumbuka lile goli lake la mwili napata shaka huyu hakuwa binaadam wa kawaida na kwa kuwasaidia tu hao watoto wa juzi ni kwamba huyo messi mpaka peter cech anaondoka chelsea alikua hajawahi mfunga so messi ni mchezaji wa kawaida sana na akijaribu kuhama ligi ndio atapotea kabisa

Hilo goli naona lina kusisimua sana na ndio goli lake bora kuliko yote....pia nakushauri fuatilia clip za mchawi uone jinsi anavyowapita mabeki hadi ndani ya 18 kisha anascore,hapo ndio utambue kuwa 100% magoli yake yameenda shule ...hebu tafakari kijana, pia nakushauri fuatilia clip za kaka yake El diego tens uone magoli yake hlf ufananishe na gaucho kagoli kamoja alikoleta dhidi ya england utaona kweli hawa washkaji D & L ni wa sayari ingine, wanastahiki pongezi....
 
Nauliza tu king of football ni nani kama sio pele wa brazili basi utakua shabiki mandazi

Mkuu hizo ni media tu zina-mpamba huyu jamaa kwa sababu yu hai! namba 1 anajulikana na ndio statistics za fifa na washabiki kote duniani wanamkubali huyu jamaa... ni DIEGO ARMANDO MARADONA...namba 2 nadhani anajulikana duniani kote mpaka mtoto wa miaka miwili anamtambua huyu kiumbe ni LEO ANDRES MESSI..AKA LEO 10s
 
Tupe statistics na mi nikupe za pele ziko hapo hapo fifa maana ubora ni rekodi
 
Tupe statistics na mi nikupe za pele ziko hapo hapo fifa maana ubora ni rekodi

I thnk wewe ni mgeni humu! Pele hana lolote kwa Donaz na hata kwa messi pia...labda kwa wingi wa magoli hapo nitakukubalia japokua magoli mengi ni ya offside, kipindi hicho offside haikuwepo! nadhani umenipata
 
I thnk wewe ni mgeni humu! Pele hana lolote kwa Donaz na hata kwa messi pia...labda kwa wingi wa magoli hapo nitakukubalia japokua magoli mengi ni ya offside, kipindi hicho offside haikuwepo! nadhani umenipata
Sio magoli tu kila kitu pele yuko juu akitoka pele anakuja mesi baada ya mesi ndio umtaje maradona
 
March 21 mwaka 1980 Mzee Joao Moreirra na Mkewe Bi Miguelina de Assis walifanikiwa kumzaa mtoto ambaye baada ya miaka kadhaa kupita alifanikiwa kuja kuwa Nabii wa mwisho wa kizazi cha Soka ulimwenguni.


THE KING OF MARCH IS BORN...
Siku kama ya Leo katika mji wa Porti Alegre nchini Brazil mtoto Ronaldo De Assis Moreirra alizawa.
ishara nyingi za kuja kwake zilionekana mapema na kuashiria kuwa Mbarikiwa yumbioni kuzaliwa.
viunga vyoote vya Brazil leo hii vinasherehekea siku hii muhimu kwa historia ya Taifa la Brazil.


THE SAINT WAS BORN...
Alizaliwa katika familia ya Soka.
Baba yake, Uncle wake na Kaka yake wote hawa walikuwa ni wachezaji Soka wa uhakika kabisa.
Alizaliwa katika maisha ya kawaida kabisa kama ambavyo manabii wengine walizaliwa.
Aliishi maisha ya kawaida kama ambavyo mitume wengine waliishi.
Siku zote tabasamu lake halikukauka usoni mwake.
hakuwahi kuwa na kumbukumbu ya uadui na mtu, si uwanjani waala katika maisha yake mtaani.


Alianza kucheza soka akiwa bado mdogo sana, na mara nyingi alicheza na watu wenye umri mkubwa zaidi yake na wengi waliomuona waliustaajabia uwezo aliokuwa nao.


Mwenyewe aliwahi kutanabaisha kuwa Baba yake ndie Idol wake na akamuelezea kuwa "He
was one of the most important people for me and
in my career, even though he died when I was very
young," he says. (João Moreira suffered a fatal
heart attack when Ronaldinho was 8 years old.)
"He gave me some of the best advice I've ever had. Off the field: 'Do the right thing and be an honest,
straight-up guy.' And on the field: 'Play soccer as
simply as possible.' He always said one of the most
complicated things you can do is to play it simple."...alikaririwa Mtakatifu huyu


''INCASE YOU DONT KNOW THE SAINT IS RONALDINHO GAUCHO''...


Haikushia hapo Maestro Gaucho quickly developed into one of Brazil's
most talented youth soccer players. When he was
13 years old, he once scored a ridiculous 23 goals
in a single game...shenz type...


Then Ronaldinho made his senior debut for Grêmio in the
1998 Copa Libertadores tournament. The next
year, he was invited to join the senior Brazilian
national team to compete in the Confederations Cup
in Mexico. Brazil turned in a second-place finish,
and Ronaldinho won the Golden Ball Award as the tournament's best player as well as the Golden Boot
Award as its leading goal scorer...
Na hapa ndipo Soka lilipokuja pata raaadha toka Mbinguni.


No Gaucho No Football...
Baada ya kutamba sana na Gremio hatimae Santa Gaucho alijiunga na PSG ya Ufaransa.
Hapa sasa balaa likatua Barani Europa, kwani ulimwengu wa Soka sasa ulisogezewa kiumbe mwenye uwezo wa kuuita mpira na kuufanya anachotaka.
Gaucho alifanya vitu vya ajabu na vya miujiza pale PSG kiasi cha kuvifanya vilabu vingi kumnyemelea.


kisha baada ya kutamba na PSG, ulipofika mwaka 2002 The Saint alibeba Kombe la Dunia akiwa na timu yake ya Brazil ambayo alifanikiwa kufunga magoli mawili katika mechi 5 alizocheza.
Goli moja akilifunga katika mechi ya robo Fainali dhidi ya Brazil ambapo alipiga Freekick inayoaminika kuwa hata wangekaa makipa 6 basi wasingeidaka.
HAPA IKUMBUKWE KUNA WACHEZAJI WEENGI WA SASA WANASIFIWA LAKINI HAWAJAWAHI KUBEBA KOMBE HILI...najuwa mnawajuwa.


RONALDINHO MADE BARCA...BARCA MADE MESSI...
Kisha Dinho the Saint akatua na kwenda kuiumba Barca hii ambayo leo hii inasifika na kuna watu wanatukuzwa pasipo kujuwa msingi wa Barca hii ya Sasa uliwekwa na akina nani.
Dinho akiwa Barca anakutana na Samuel Eto'o na Deco de Souza ambao kwa pamoja wanaanzisha kile kilichoshindikana na Louis Enrique, Louis Figo na Patrick Kluivert.
Hatimae Barca inakuwa timu ya kubeba Vikombe.
Akiwa Barca anafanikiwa kubeba Makombe mengi na kuufanya mchezo wa Soka kupendwa zaidi kutazamwa endapo tu yeye atakuwepo uwanjani.


JULLY 16 2008 DINHO ANAJIUNGA NA MILAN NA KUWA MCHEZAJI NYOTA ALIEKAMILIA.
"The brazilian footballer ended up playing where he wanted to. Ronaldinho wants to be part of Milan," Barcelona sporting director Txiki Begiristain admitted.
Santa Gaucho kama ilivyokuwa kwa nyota waliomtangulia analakiwa na maelfu ya washabiki wa soka sio tu wa Ac Milan bali wapenzi woote wa Soka nchini Italy sambamba na nchi za Jirani.
"Ronaldinho is ours. Galliani called me from FC Barcelona," Milan president Silvio Berlusconi admitted. "Galliani said deal was reached and tomorrow he will sign. Today there was a handshake.
Na siku ya kutambulishwa uwanjani Ronaldo De Assis Morreira alitoa kali ya Karne baada ya kupiga danadana mipira miwili, huku kila mpira ukitii kukaa mguu uliochaguliwa.


Mechi yake ya kwanza kufunga Goli Gaucho aliwachapa Inter goli la kichwa na kupelekea klabu yake kipenzi ya AC Milan kumfunga domo Kocha wa Inter kwa kipindi hicho Jose Mourinho, Milan walishinda goli pekee kwa bila...
Dinho anafanya Balaa zaidi nchini Italia, na 10 January 2010, Ronaldinho anatupia goli mbili dhidi ya Juventus in an away match, sealing a 3–0 victory for the Rossoneri. Katika mechi hii Dinho aliacha maafa uwanjani Delle Alpi baada ya kuiacha nyang'anyang'a beki yoote ya Juve.


In the
following match against Siena on 17 January 2010, Ronaldinho scored his first hat-trick for Milan when he converted a spot kick, scored
with a header from a corner and finished with a wonder goal from 20 yards out.


As of 13 April 2010, Ronaldinho was the assist leader of Serie A with a total of 14 assists.


He was the capitain of Brazil to its second Confederations Cup title in 2005, and was named Man of the Match in a 4–1 victory over archrivals Argentina in the final on 29 June. Ronaldinho scored three goals in the
tournament and is tied with Cuauhtémoc Blanco as the tournament's all-time scorer with nine goals.


Baada ya Milan Dinho alijiunga na Flamengo na kisha hivi karibuni amejiunga na klabu ya Atletico MG ambapo amedumu mpaka...

Hakika Dinho ni mbarikiwa
acha kukufuru ye ni mchezaji kama john boko tu
 
Sio magoli tu kila kitu pele yuko juu akitoka pele anakuja mesi baada ya mesi ndio umtaje maradona

Pele hakucheza Ulaya
Maradona hakubeba Champions League
Nesi hajabeba World Cup..

Happy Birthday Gaucho
 
I thnk wewe ni mgeni humu! Pele hana lolote kwa Donaz na hata kwa messi pia...labda kwa wingi wa magoli hapo nitakukubalia japokua magoli mengi ni ya offside, kipindi hicho offside haikuwepo! nadhani umenipata

Ronaldinho He is one of the greatest players I have ever seen.— Diego Maradona
 
Pele hakucheza Ulaya
Maradona hakubeba Champions League
Nesi hajabeba World Cup..

Happy Birthday Gaucho
Pele ameshiriki fainaly 4 za kombe la dunia na mara zote hizo ameisaidia brazili kutwaa ubingwa huo mara 3 chukua hiyo
 
Pele ameshiriki fainaly 4 za kombe la dunia na mara zote hizo ameisaidia brazili kutwaa ubingwa huo mara 3 chukua hiyo

(1958, 1962 & 1970) he did not play in the 1962 final due to injury)....hivyo usitufanye watoto wakati huyo babu yako kabeba mara mbili tu akiwa ndani ya final, final ya 1962 alikuwa majeruhi
 
^ "The Best of The Best". Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation.com (19 June 2009). Retrieved 31 March 2013.
^ – "The 100 greatest players of all time" The Football Pantheon, 20 September 2011
^ – "Castrol Debate: Pele Versus Maradona". goal.com, 23 October 2010
^ Other opinions about Maradona as the greatest player can be found at:
- "Camacho: Maradona was, is and always will be the best in the world". marca.com, 12 March 2014.
– "Ruud Gullit: Diego Maradona is the best ever in my opinion". goal.com, 29 July 2012.
– "Lionel Messi: Diego Maradona is the greatest of all-time". SoccerAnchor, 7 September 2011.
– "Rummenigge: Maradona better than Pele". The Times of India, 12 November 2008
– "Paolo Maldini: Maradona best ever"

"The Best of The Best". Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation.com (19 June 2009). Retrieved 31 March 2013.
^ – "The 100 greatest players of all time" The Football Pantheon, 20 September 2011
^ – "Castrol Debate: Pele Versus Maradona". goal.com, 23 October 2010
^ Other opinions about Maradona as the greatest player can be found at:
- "Camacho: Maradona was, is and always will be the best in the world". marca.com, 12 March 2014.
– "Ruud Gullit: Diego Maradona is the best ever in my opinion". goal.com, 29 July 2012.
– "Lionel Messi: Diego Maradona is the greatest of all-time". SoccerAnchor, 7 September 2011.
– "Rummenigge: Maradona better than Pele". The Times of India, 12 November 2008
– "Paolo Maldini: Maradona best ever,
[23/03 15:33] Fahad Alhabsi: – "Gary Lineker: Diego has been the best player without a doubt, better than Pele". givemesport
- "Hector Enrique: Messi will never surpass Maradona" goal.com, 3 March 2014.
- "Wayne Rooney: Diego Maradona is the greatest player ever" SoccerBlog, 25 March 2006.
– "Glenn Hoddle: Diego Maradona is the greatest player of all time". SoccerBible, 22 July 2010.
– "Ryan Giggs: Maradona is the best of all time". tribalfootball, 11 October 2011.
– "Rio Ferdinand: In my eyes Maradona is the best footballer ever". fifa.com, 7 November 2008.
– "Mario Kempes: Maradona is absolutely the best". ESPN soccernet, 18 April 2005.
- "Luca Caioli: Maradona greatest footballer". Times of India, 30 April 2014.
– "Aguero: It is disrespectful to compare me to Maradona". Mirro Football, 20 November 2011.
– "Frank McGarvey: Diego Maradona was world's best player". Daily Record, 30 October 2008.
– "Gordon Smith: Maradona was the best player I ever saw play the game". Daily Record, 30 October 2008.
– "Trevor Edwards: Maradona is best" Central Telegraph, 11 April 2012.
– "Maradona’s still number one". The Sun,
 
(1958, 1962 & 1970) he did not play in the 1962 final due to injury)....hivyo usitufanye watoto wakati huyo babu yako kabeba mara mbili tu akiwa ndani ya final, final ya 1962 alikuwa majeruhi
Asante mkuu analeta upenzi hapa badala ya rekodi hakuna kama pele katika soka kafanya kila kitu hizo chenga za mess ye kafanya mara 2
 
Back
Top Bottom