Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka

640x360_messi.v1364406990.jpg

Hayo ni majigoli aliyofunga kila timu, sasa bwana Ganga Chumba, kwa hisani yako, kamilisha circle kwa kuweka mpira mmoja hapo kwenye ? kumark goli aliloifunga Celta Vigo jumamosi, sawaaaaa?!!

Messi hajui tu ni kiasi gani anamnyima usingizi GANGA CHUMBA
 
Diedo Armando Maradona, The Legend

God makes me play well. That is why I always make the sign of a cross when I walk out on to the Pitch. I feel I would be betraying him if I didn'y
 
Diego Maradona on being voted Fifa's joint Player of the Century...

"The people voted for me. Now they (FIFA) want me to share the prize with Pele. I'm not going to share the prize with anybody."
 
Na kwa kuwa Barcelona ni wajinga wakamuuza na sasa ni wengine ndio wanafaidika. Wao wamebakiwa na wachezaji wa hali ya chini kiasi timu inakaribia kushuka daraja. Kweli Barca hawana akili hata kidogo
mtu kama hataki kukubali kuwa dinho anatisha angeenda kwenye lile ghorofa lililojipiga mtama juzi afilie kwa ndani aaah dinhooo.
 
Kama issue ni kubeba World Cup na champions league basi tulie uambiwe bwana mdogo

Gerald Pique
Man U (League Cup)
Spain (World Cup)
Barca (UCL)

Thierry Henry
Arsenal (League)
France (World Cup)
Barca (UCL)

Fabien Barthez
Man U (League)
France (World Cup)
Marseille (UCL)

wapo zaidi ya 40, kwa hiyo woote hao ni Mitume na Manabii......umeliwa. Huyo meno nje atasubiri sana kwa Messiah. Sura ngumu kama World Cup. Kingekuwa ndio kigezo usingekuta George Weah amekuwa Super Star kwani timu yake achilia mbali kushinda, hata kucheza World Cup Finals haijawahi[/QUOTE]aaah dinhoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
mtu kama hataki kukubali kuwa dinho anatisha angeenda kwenye lile ghorofa lililojipiga mtama juzi afilie kwa ndani aaah dinhooo.

Maoni yako yanafanana na huo mtindi kwenye avatar yako.

Am not arguing with you, am telling you. Ninaweka facts na sio kubwabwaja kwa domo eti nikubali. Nitakubali bila vigezo? Mama hiyo ni sawa na kuwaambia watu kuwa mumeo ndio mzuri sanaaaa mtaani wakati huna ushahidi au namna ya kulithibitisha hilo

halafu mimi sio mama nikupe vigezo gani tena wakati dunia yote iliona na inajua kuwa dinho anatisha jamaa juu hapo juu kaeleza kila kitu mimi nikuelezee nini tomaso wewe.mimi ni kidume tena cha mbegu.gang chomba ameshakamilisha kila kitu mimi nakazia tu uzi aaaa dinhooooo
 
Mpe huyo...
 
Itakuwa dunia yako wewe na huyo mama mwenzio anayejibu 'mpe huyo' (maneno ya saluni na kwenye taarab) lakini kama unamaanisha dunia hii tunayoishi, weka uthibitisho. Au unadhani maneno ya huyu Ganga Chumba ndio sheria? Huyu si muhanga tu wa maumivu ya Messi!

Mimi huwa sibishani kijingajinga bwana, nakupa facts mezani ujinyonge na sio maneno ya kwangu mwenyewe. Huyo Dinho acha akae museum na mwenzake Pele, huku nje yupo Messi 'The Soccer Messiah'.

Hizi rekodi za Lionel Andress 'Leo' Messi zinawauma sana. Hamna la kufanya zaidi ya kuongea maneno ya kujifariji na kujaribu kupaka rangi kaburi. Swali hili hamtaki kulijibu mnawahi tu kuleta ngonjera: Kama Ronaldinho alikuwa that much useful, je Barcelona walimuuza kwa kuwa walikuwa na matatizo ya fedha au yeye alilazimisha kuondoka?
 
silverware_display_image.jpg

Majikombe hayo....mama mtindi unalo angalau moja au unaumwa wivu tu?

xin_1621206220834546167318.jpg
lionelmessi20090903trophy_205x285.jpg
messi-holds-best-player-trophy.jpg

Hizi ndio PERSONAL ACHIEVEMENTS ambazo mtu huzipata kwa jasho lake na sio kwa kuwa tu wewe ni Mbrazil
 
Kweli we ushuzi...
Hivi tuzo unazitokea jasho?
Tuzo unapigiwa kura na gagulo kama wewe na wenzio msiojuwa Soka...
 
Itakuwa dunia yako wewe na huyo mama mwenzio anayejibu 'mpe huyo' (maneno ya saluni na kwenye taarab) lakini kama unamaanisha dunia hii tunayoishi, weka uthibitisho. Au unadhani maneno ya huyu Ganga Chumba ndio sheria? Huyu si muhanga tu wa maumivu ya Messi!

Mimi huwa sibishani kijingajinga bwana, nakupa facts mezani ujinyonge na sio maneno ya kwangu mwenyewe. Huyo Dinho acha akae museum na mwenzake Pele, huku nje yupo Messi 'The Soccer Messiah'.

Hizi rekodi za Lionel Andress 'Leo' Messi zinawauma sana. Hamna la kufanya zaidi ya kuongea maneno ya kujifariji na kujaribu kupaka rangi kaburi. Swali hili hamtaki kulijibu mnawahi tu kuleta ngonjera: Kama Ronaldinho alikuwa that much useful, je Barcelona walimuuza kwa kuwa walikuwa na matatizo ya fedha au yeye alilazimisha kuondoka?
kawaulize baselona sina sababu ya kumchukia messi wala kumpenda kwa sababu sina ninachopata wala kupoteza kwa sababu yake ninachofanya hapa ni kutoa mtizamo wangu na hautobadilishwa na mtu.mimi nijuavyo ronaldinho anacheza mpira ambao kila mpenda mpira atapenda hayo ya rekodi wanajua waweka rekodi.na kama wewe ni mfuasi wa rekodi basi atapaswa kuhakikisha anachukua kombe la dunia ili rekodi zake ziende sawa bila hivyo hatakuwa na rekodi iliyopungua kitu muhimu na kikubwa kabisa katika ulimwengu wa soka.
 
Kweli we ushuzi...
Hivi tuzo unazitokea jasho?
Tuzo unapigiwa kura na gagulo kama wewe na wenzio msiojuwa Soka...
sasa kuna lipi hapo ambalo dinho hakuchukua haya sasa mwambie aweke na la dunia sasa huyo mwana wa kujambwa
 
Back
Top Bottom